Single mama

Single mama

nakwede97

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2021
Posts
946
Reaction score
2,478
Kwanza naomba kuuliza ivi watu wanaotafuta wenza humu mnawapata kweli? Leten mirejesho tujue maana mtu akipost kutafuta mwenza naona comment ni za kukatisha tamaa haswa ma single mama Kwan mtu kuzaa ni kosa la jinai au nin?
Nyie wanaume inamaana wote humu hamna watoto mliotelekeza huko?


Single mama wanaoolewa mungu awasimamie na mnaotafuta pia mungu ataonyesha njia
 
Dhumuni la barua yako kwa hadhira ni lipi hasa?
 
Utapata mwenza wa maisha yako mkuu kikubwa sema na Mungu yeye atakupa kikufaacho!
 
Toa vigezo vya yule unayemtaka tu upate chako faster. Fanya yako. Hao wengine mablack commenters nao wanafanya yao.Hii ndio Radha ya Dunia,katikati ya miiba hupatikana nanasi. Sauti za vyura ni mziki wa kumsindikiza twiga kunywa maji!
 
Back
Top Bottom