Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Hizi ni baadhi ya kauli za wavulana juu ya single maza "ukioa single Maza ukae tayar kuchapiwa", "single Maza sio WA mtu mmoja",,, "single Maza ana wakwe pande mbili na mawifi pande mbili",,,"unaoa single Maza Una akili timamu kweli?"
Swali kwenu wavulana hao ambao sio single Maza mnao chapiwa kwenye ndoa zenu hawana mawifi pande mbili? Hawana wakwe pande mbili? Na Hadi mnachapiwa hivi nyie mnaakili kweli?
Sikilizeni nyie wavulana tofauti ya single Maza walio zalishwa na wake zenu walio zalishwa ndani ya ndoa zenu na wanaume wengine ni moja Tu, mawifi na wakwe WA single Maza wanajulikana tayar ila nyie WA kwenu hawajulikani bado, kwahiyo msishupalie Sana kauli zenu juu ya single Maza wakati nyie mnalea watoto ambao sio wenu!
Mfano mzuri ni Yule mchungaji na katibu,nadhani mmeona alioa mwanamke sio single Maza lkn watoto Kwa mwonekano wanaonekana sio WA mwenye mke,sijui mmenielewa vizuri hapo? Kwahiyo msiwa nyanyase masingle Maza coz hawa kupenda kuwa hivyo Ila ni mazingira Tu sometime Yana wafanya wajikute katika Hali hiyo.
Mnawasema vibaya Sana single Maza,je nyie Hamna wadogo zenu WA kike au dada zenu WA kike,je shangazi zenu au mama zenu wadogo? Mnapinga kabisa wasiolewe,ebu chukulia ndio mdogo wako au dada yako je ungependa aziniwe tu kila siku Bila kuolewa?
Kutwa kucha mnashabikia upumbavu tu dhidi ya single Maza, mapovu yanawatoka kisa mnawapiga Vita single Maza wa watu Tu tena saa nyingine nyie ndio sababu ya wao kuwa single Maza. Ebu acheni huo upuuzi mara moja, kuna wengine wamebakwa na wengine ni manyanyaso ya kijinsia halafu nyie mnaongea ujinga Tu dhidi Yao!
Kwenu wanaume unapo amua kumuoa single Maza basi hakikisha unapenda na watoto wake, hakuna mwanamke anayependa kuishi mbali na mtoto wake, huwa wana majonzi Sana baadhi ya wanawe wanaishi vizur halafu mwanae mwingine sijui yupo kwa mjomba huko au shangazi hata kula yake ni shida, halafu unategemea utapewa penzi zuri na mkeo wakati humpendi mwanae? Hayo mahaba ya kukupa wewe yatatokea wapi wakati unabagua wanawe?
Wanaume wenzangu mjitafakari sana na mfanye mkeo afurahie uwepo wa wanawe wote ndani ya familia moja, wanaume Mungu awape Maisha marefu.
Ni hayo Tu!