Single Maza kiboko ya Wavulana

Single Maza kiboko ya Wavulana

Wengine tumelelewa na kukuzwa na single mamaz. I love them single mamaz.
Ni kweli lakini kama hujui huyo single mother pesa za kukulea alikuwa ana zipataje?
 
Ni kweli lakini kama hujui huyo single mother pesa za kukulea alikuwa ana zipataje?
Kuongezea, unadhan huyo single mom alikua anafanya hayo kukulea vizuri kwa kua anakupenda sana? Wale hua wanamtafuta sympathy, waonekane wema, ili badae umsaidie maana anakua Hana company ya kweli kutoka kwa mwenza kutokana na tabia zake.
 
Kuna singomother ni mchepuko Wangu Niko nae kwny mahusiano mwaka wa 2 Sasa.

Mengi mabaya yanayozungumzwa humu jf khs singomother siyaoni kabisa kwake.

Ana nafuu sana kuliko hata mamaJ wangu ambae ananipasua kichwa kila kukicha.

Zaid Zaid Mimi Ndo nampasua kichwa huyu singomother.

Mi nadhan suala la usumbufu Ni tabia TU ya mtu.

Huyo ni mchepuko na yeye mwenyewe ameshajijua kuwa ni mchepuko kwahiyo anaishi kwa akili kubwa na wewe, shtuka kijana kama mama j wako ni pasua kichwa mpige chini alafu nenda kaishi na huyo singo maza unayemsifia kuwa ni bora kuliko mama j wako, nakupa week moja tu nenda kaishi nae alafu njoo hapa utupe mrejesho [emoji1547]
 
Week kubwa sana, siku 3 tu akishajijua yeye ndio yeye brother ataleta mrejesho
 
Malezi na changamoto za kimaisha yamechangia pakubwa ongezeko la single mamaz..
That's reality, changamoto za maisha ni sababu kuu istoshe pia idadi inazidi kuongezeka kila kukicha hii ni hatari kwa ustawi wa jamii yetu.

Few months ago binti yangu wa kazi nilimfuma mahali akiwa na kijana nikampita nadhani taa za gari zilimchanganya, siku moja nilimkanya nikamwambia yule kijana niliyekuona nae atakupa mimba kisha atakukimbia, few weeks ago ndugu wamekuja nitembelea wakaniambia mbona housemaid wako anaonekana kama ana mimba nikastuka!, kumbana kumbe mimba ya miezi karibu minne na hivi mnene hata kujua nilikuwa sijui, nikamuuliza mwenye mzigo yu wapi akaanza kulia nikaona hili balaa mambo yasiwe mengi nikamrudisha kwao Mbamba Bay.
 
Single mothers n wavumilivu, waelewa , wanaupendo wa ajabu ukiwa huishi nae au hujamwoa. Weka hicho chuma ndani uone balaa lake utakimbia umwachie nyumba. Hivi wana laana au vp? Tabia zao zinafanana sana
 
Back
Top Bottom