Single Maza kiboko ya Wavulana

Wengine tumelelewa na kukuzwa na single mamaz. I love them single mamaz.
Ni kweli lakini kama hujui huyo single mother pesa za kukulea alikuwa ana zipataje?
 
Ni kweli lakini kama hujui huyo single mother pesa za kukulea alikuwa ana zipataje?
Kuongezea, unadhan huyo single mom alikua anafanya hayo kukulea vizuri kwa kua anakupenda sana? Wale hua wanamtafuta sympathy, waonekane wema, ili badae umsaidie maana anakua Hana company ya kweli kutoka kwa mwenza kutokana na tabia zake.
 

Huyo ni mchepuko na yeye mwenyewe ameshajijua kuwa ni mchepuko kwahiyo anaishi kwa akili kubwa na wewe, shtuka kijana kama mama j wako ni pasua kichwa mpige chini alafu nenda kaishi na huyo singo maza unayemsifia kuwa ni bora kuliko mama j wako, nakupa week moja tu nenda kaishi nae alafu njoo hapa utupe mrejesho [emoji1547]
 
Week kubwa sana, siku 3 tu akishajijua yeye ndio yeye brother ataleta mrejesho
 
Malezi na changamoto za kimaisha yamechangia pakubwa ongezeko la single mamaz..
That's reality, changamoto za maisha ni sababu kuu istoshe pia idadi inazidi kuongezeka kila kukicha hii ni hatari kwa ustawi wa jamii yetu.

Few months ago binti yangu wa kazi nilimfuma mahali akiwa na kijana nikampita nadhani taa za gari zilimchanganya, siku moja nilimkanya nikamwambia yule kijana niliyekuona nae atakupa mimba kisha atakukimbia, few weeks ago ndugu wamekuja nitembelea wakaniambia mbona housemaid wako anaonekana kama ana mimba nikastuka!, kumbana kumbe mimba ya miezi karibu minne na hivi mnene hata kujua nilikuwa sijui, nikamuuliza mwenye mzigo yu wapi akaanza kulia nikaona hili balaa mambo yasiwe mengi nikamrudisha kwao Mbamba Bay.
 
Single mothers n wavumilivu, waelewa , wanaupendo wa ajabu ukiwa huishi nae au hujamwoa. Weka hicho chuma ndani uone balaa lake utakimbia umwachie nyumba. Hivi wana laana au vp? Tabia zao zinafanana sana
 
Inakuwa poa sana mtoto wake akiwa boarding au shule.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…