Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi kwa kweli being this kind of a woman sitaweza even in my sleep. I just cannot. Labda kwa BAK nitaweza. Mimi ni pasua kichwa vibaya mnooooooo.
Kwenye relationship lazima ukonde mnooooooo. Unless you are a bad boy. But soft and clingy? Pasua mbaya mnoooo. teh teh. Mama bwana, she's the queen who tames this wild woman!!!Mhhhh! Karucee hujatulia weye!!! LOL! hahahahahah....ila baadhi ya mabandiko yako ni pasua kichwa kwa kweli halafu una ile soft side ambayo huionyesha kila siku unapoandika kuhusu mama mpenzi yaani huwa inakuwa na mguso wa hali ya juu kwa wasomaji wengi hapa jamvini.
ingekuwa kizazi hiki ungefungwa kwa kuoa mtoto mdogo babu!
Unafikiri wakipata kama huyu ana appreciate? Utachezea kipigo in the name of A woman who will rejoice in serving you without complains