JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 758
- 555
Alafu wakifika nyumbani wanahesabu mapato.
Camera ipi tena? hiyo si zile cctv ipo juu kwenye roof.Kwa hiyo camera hawakutoka hao
Camera ipi tena? hiyo si zile cctv ipo juu kwenye roof.
Na hapo chini kwenye clip inaonyesha CAM 3, kwani zipo kadhaa hapo dukani hivyo inategemea tukio linatokea upande gani.
Tatizo ndio hilo, huwa wanakuja kushtuka baada ya tukio/kupigwa...hakuna Mtu wa ku monitor papo kwa hapo ili awadhibiti.Kwa duka kuna kuwa na central control or monitoring au tracking ya movement zote kuhakisha usalama nahakipotei kitu, wakati wakutoka hutoki mlangoni.
Tatizo ndio hilo, huwa wanakuja kushtuka baada ya tukio/kupigwa...hakuna Mtu wa ku monitor papo kwa hapo ili awadhibiti.
Si unaona Muuzaji anawekwa bize na Mama Mtu kwa hiyo hakuna wa kuangalia camera inaonyesha nini kwa wakati huo.
Aisa hatari sanaSi unaona Muuzaji anawekwa bize na Mama Mtu kwa hiyo hakuna wa kuangalia camera inaonyesha nini kwa wakati huo.
Ni baada ya kukuta ameibiwa ndio alirudi kwenye kamera.
Labda kama walimsaka baadae
Labda hawakujua kama kuna camera.Kwa hiyo camera hawakutoka hao
Wanaandaa Jambazi la siku za usoni, huyo Mama ni wa kushtakiwa.Dogo akikua huo ni hatari.
Huyu Mama ni mwehu sana.Wanaandaa Jambazi la siku za usoni, huyo Mama ni wa kushtakiwa.
Alafu Mama ndio msimamizi mkuu.plan b