Single mom anapojiongeza na Wanawe ili maisha yasonge.

Alafu wakifika nyumbani wanahesabu mapato.
 
inafundisha inafikirisha wakati huohuo inastaajabisha piq
 
Kwa hiyo camera hawakutoka hao
Camera ipi tena? hiyo si zile cctv ipo juu kwenye roof.

Na hapo chini kwenye clip inaonyesha CAM 3, kwani zipo kadhaa hapo dukani hivyo inategemea tukio linatokea upande gani.
 
Alafu angalia hiyo team work, hapo kwenye 0:23 Kaka yake anampa Dogo ishara "fanya fasta mwenyewe anakuja"
 
Camera ipi tena? hiyo si zile cctv ipo juu kwenye roof.

Na hapo chini kwenye clip inaonyesha CAM 3, kwani zipo kadhaa hapo dukani hivyo inategemea tukio linatokea upande gani.

Kwa duka kuna kuwa na central control or monitoring au tracking ya movement zote kuhakisha usalama nahakipotei kitu, wakati wakutoka hutoki mlangoni.
 
Tatizo ndio hilo, huwa wanakuja kushtuka baada ya tukio/kupigwa...hakuna Mtu wa ku monitor papo kwa hapo ili awadhibiti.
 
So faida yake nini?
Kazi yake nini?
Hizo ni security tools ufaham zipo kwa madhumuni na malengo mahsusi otherwise niwehu kufunga tools kwa gharama kubwa useless.
 
Back
Top Bottom