Single Mom nahitaji mwenza

Single Mom nahitaji mwenza

Sainech

Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
10
Reaction score
14
Habari,

Mimi ni mama wa watoto wawili nahitaji mwenza;
~ Umri miaka 28
~ Makazi dar
~ Watoto wawili baba yao mmoja
~ Mwembamba
~ Mweupe
~ Urefu wastani
~ Dini mkristo

Ninaye muhitaji;
~ Umri miaka 32 hadi 40
~ Asiwe mnene sana
~ Awe mkristo

Karibu PM.
 
Picha please, tena kenua meno usije kuwa na mapengo. Maana siyo rahisi watoto wawil kwa njemba moja then utafute. Weka picha ya meno kama unayo yote
 
Dah! Michango ya baadhi ya wadau inakatisha tamaa!!
 
Back
Top Bottom