Umemaliza kila kitu.Mwambie ashukuru , hayanaga muda.
Wanawake ni wengi sana!!..... Awe na Jeuri.
Utafiti niloufanya mwenyewe, unaonyesha GOOD BOYS ndio wanaongoza kuoa Singo Mama ( japo sio dhambi).
Kuna Wanawake Singomama Wapumbavu, kitendo Cha kuolewa, Basi Upumbavu wake unamuaminisha kua"Huyu mwanaume mjinga, kama amekubali kunioa nikiwa tayari na mtoto basi hata nimuudhi vipi hawez niacha"
Na hili hujithibitishia pale ambapo Hawa Kenge wanaojiita Good boys, wazee wa beby beby, wanapowabembeleza madems huku wakitoa machozi na Maneno kama "Yaan unanitendea hivi, ona navyokuhangaikiaaa, unanilipa hivi, Mungu yupooo bana"...
Ujinga mtupu, Mungu kakupa Akili, hataki bichwa lako libaki la kuvukia barabara.
Ule usio na mlengo wakutuandama single mothers kila siku.😏Ukweli ni upi Mkuu?
😂😂Good boysMwambie ashukuru , hayanaga muda.
Wanawake ni wengi sana!!..... Awe na Jeuri.
Utafiti niloufanya mwenyewe, unaonyesha GOOD BOYS ndio wanaongoza kuoa Singo Mama ( japo sio dhambi).
Kuna Wanawake Singomama Wapumbavu, kitendo Cha kuolewa, Basi Upumbavu wake unamuaminisha kua"Huyu mwanaume mjinga, kama amekubali kunioa nikiwa tayari na mtoto basi hata nimuudhi vipi hawez niacha"
Na hili hujithibitishia pale ambapo Hawa Kenge wanaojiita Good boys, wazee wa beby beby, wanapowabembeleza madems huku wakitoa machozi na Maneno kama "Yaan unanitendea hivi, ona navyokuhangaikiaaa, unanilipa hivi, Mungu yupooo bana"...
Ujinga mtupu, Mungu kakupa Akili, hataki bichwa lako libaki la kuvukia barabara.
Good Boys .. Binadam pekeee wanaojiua kisa MADEMU
Huyo jamaa alikuwa rijali kweli maana kuishi na mwanamke zaidi ya miezi sita hujamshikisha kibendi ni hatariAisee! Hii imetokea mtaani kwetu, kuna Single Mother alikuwa ameolewa na Jamaa mwenye pesa.
Kama unavyojua maisha ni kupanda na kushuka, yule jamaa kafukuzwa kazi na hana inshu yoyote zaidi ya kupambana na vikazi vidogo mtaani.
Hauwezi amini yule Mwanamke kambeba mwanae na kumkimbia jamaa na mbaya zaidi amerudisha ukaribu na Baba Mtoto wake.
Baba mlezi anasema anajuta sana kumuoa yule Single mother kwani amemgeuka na mbaya zaidi amerudiana na Baba mtoto.
AMA KWELI ASIE SIKIA LA MKUU HUVUNJIKA UGOKO.