Single mother amtamkia maneno mabaya Baba wa kufikia

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Hii imetokea mtaani kwetu, kuna Single Mother alikuwa ameolewa na Jamaa anaepiga vibarua vya kutengeneza simu mtaani.

Sasa Jamaa wakati akiwa ofisini na mtoto wa kufikia mwenye umri wa miaka 14 yule dogo akaidondosha chini simu ya mteja.

Ikumbukwe kuwa jamaa huwa anamkatazaga Dogo asiwe anachezea simu za watu.

Jamaa akampiga Dogo kakofi kadogo dogo PAAH! 👋

Dogo akaanza kulia kwa Nguvu, Mama yake akasikia Aisee!

Kilichotokea baada ya hapo ni maneno makali na kumwambia UNAMPIGA HUYU MTOTO NI WAKO?

Aisee! Nilisikitika sana kuona yule Jamaa anaambiwa maneno yale na ilhali ni yeye ndio anatoa huduma kwa Mama na mtoto wa Single mother.

JAMAA ANAJUTA SASAIVI KUOA SINGLE MOTHER!
 
Leona rumisho, si sawa kumpiga mtoto wa miaka hiyo kofi. Haituhusu.
 
Hii imetokea mtaani kwetu, kuna Single Mother alikuwa ameolewa na Jamaa anaepiga vibarua vya kutengeneza simu mtaani.

Sasa Jamaa wakati akiwa ofisini na mtoto wa kufikia mwenye umri wa miaka 14 yule dogo akaidondosha chini simu ya mteja.

Ikumbukwe kuwa jamaa huwa anamkatazaga Dogo asiwe anachezea simu za watu.

Jamaa akampiga Dogo kofi PAAH! 👋

Dogo akaanza kulia kwa Nguvu, Mama yake akasikia Aisee!

Kilichotokea baada ya hapo ni maneno makali na kumwambia UNAMPIGA HUYU MTOTO NI WAKO?

Aisee! Nilisikitika sana kuona yule Jamaa anaambiwa maneno yale na ilhali ni yeye ndio anatoa huduma kwa Mama na mtoto wa Single mother.

JAMAA ANAJUTA SASAIVI KUOA SINGLE MOTHER!
Kastori ka uongo haka....
 
Huyo jamaa wala hajuti. Maadam anaendelea kuishi nao hao ajiandae kumuona Mola mapema kabla ya muhula😀
 
Hii imetokea mtaani kwetu, kuna Single Mother alikuwa ameolewa na Jamaa anaepiga vibarua vya kutengeneza simu mtaani.

Sasa Jamaa wakati akiwa ofisini na mtoto wa kufikia mwenye umri wa miaka 14 yule dogo akaidondosha chini simu ya mteja.

Ikumbukwe kuwa jamaa huwa anamkatazaga Dogo asiwe anachezea simu za watu.

Jamaa akampiga Dogo kakofi kadogo dogo PAAH! [emoji112]

Dogo akaanza kulia kwa Nguvu, Mama yake akasikia Aisee!

Kilichotokea baada ya hapo ni maneno makali na kumwambia UNAMPIGA HUYU MTOTO NI WAKO?

Aisee! Nilisikitika sana kuona yule Jamaa anaambiwa maneno yale na ilhali ni yeye ndio anatoa huduma kwa Mama na mtoto wa Single mother.

JAMAA ANAJUTA SASAIVI KUOA SINGLE MOTHER!
Ulilipapatikia mwenyewe fupa lililomshinda fisi kulila, usituchoshe, tusikuchoshe, tusichoshane.
 
Back
Top Bottom