Single Mother ananikonyeza

Single Mother ananikonyeza

Wakuu kuna Single Mother mmoja kila akiniona ananikonyeza na kunitikisia Wowowo lake mithili ya tetemeko la ardhi!

Wakuu sio mtego huu?
Sometimes kama hamna cha kupost msifungue thread, mnaiharibu hii platforms kwa thread za kijinga.

Haya kama akitaka kukukonyeza siku nyingine mwambie atafute sehemu yenye mti ili uvunje vunje vijiti, ukatekate majani na chorochora na vidole vya miguu,huku ukiangalia chini kama wafanyavyo wanawake.
 
Back
Top Bottom