Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

All in all, hutoboi nakwambia hutoboi...ndio kisa cha sisi wanaume kufa mapema
 
Ukikubali kufanya huo ujinga siku za mbele utakuja kujilaumu zaidi ukijua kuwa hao wote baba na mama mtoto walikaa meza moja wakakubaliana wakukamue mpaka uharo,shtuka mjini shule huo ni mchongo wameupanga wote wawili,sema kingine watu mna roho ngumu aisee kuishi na baamedi kama mpenzi wako wa kudumu mimi mkurya na roho yangu ngumu lakini sijafikia hiyo hatuaπŸ™ŒπŸ™Œ
 
πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜„ 😁
 
kichwa maandazi kabisa, angekuwa akili asingemkubalia uyo jamaa wakati bamtoto anatimiza majukumu yake ispokuwa kulomba πŸ™‰
Wao wangemalizana kimjinimjini akanogewa ndio shida ya boda boda, tamaaπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…