mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Ndoa ya Aziz k na hamisa mobeto ni alama na mfano wa kuigwa kwa sababu 1. Hakuna mwanaume mwenye utimamu wa akili na mwili anaweza badili Imani yake ya dini , mahusiano yake na MUNGU kwa sababu ya mwanamke, lakini Aziz k amefanya
2. Hakuna mwanaume ambaye ana akili zake sawa anaweza chukua jumla mwanamke mwenye historia mbaya ,mwanaume unahitaji kuwa na mwanamke mwenye Jana nzuri ambaye Hana Cha kurejerea , yaani unakuwa na mke Kila mnachokifanya kuanzia kitandani hadi mahusiano yenu anakuwa na references mkiwa kitandani anaweza refer wanaume zake na akaona either umezidiwa au wamekuzidi,mkizungumza jambo anaweza rejea kwa mwanaume wake flani alifanyaje ndipo apate busara , lakini Aziz k amefanya Hilo liwe ni ujinga vitabu vya dini vinazungumza habari za mwanamke bikra kwa mwamba Aziz k sio tatizo,
3. Kuoa single mother mwenye watoto zaidi ya mmoja Tena kwa baba tofauti ni ujasiri sana hii Haina tofauti n kwenda vitani , yaani unabeba silaha hujui unaenda kupigana na nani na amekukosea nini lakini unakwenda kupigana , lakini Aziz k amefanya huu ni mfano wa wanaume majasiri sana Dunia ,baada ya mashoga wanaume wengine majisiri ni hawa wanaojitwisha single mother, hii ndoa ni mapinduzi makubwa sana mimi nawatia moyo single mother kuwa msikate tamaa ya ndoa wapo wanaume majasiri kama Aziz k