Single mother (Hamisa Mobeto) kaolewa kwa kishindo. Hili huenda likafufua matumaini ya wengine huku mitaani

eleza vizuri.
1. Aziz ni nani? anafanya kazi gani? mtu wa wapi? Eleza historia yake kwa ufupi

2. Mabeto ni nani? anafanya kazi gani? amezaa na akina nani? ni wa wapi? eleza Historia yake kwa ufupi
 
Kila la kheri Master Ki
 
Thubutuuuuu utafufua wew matumaini
 
Yaani unasema

wanaume majasiri sana Dunia ,baada ya mashoga wanaume wengine majisiri ni hawa wanaojitwisha single mother

Waseng*e ndio unawaita wanaume majasiri
Ndio ni ujasiri wa hali ya juu kukubali kujitishwa zigo kama lile
 
eleza vizuri.
1. Aziz ni nani? anafanya kazi gani? mtu wa wapi? Eleza historia yake kwa ufupi

2. Mabeto ni nani? anafanya kazi gani? amezaa na akina nani? ni wa wapi? eleza Historia yake kwa ufupi
Gemini anajibu

Aziz ni nani?
Stephane Aziz Ki, maarufu kama Aziz Ki, ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka Ivory Coast.

Anacheza nafasi gani?
Kiungo wa kati.

Anachezea timu gani?
Klabu ya Young Africans S.C inayocheza Ligi Kuu Tanzania Bara.

Historia yake kwa ufupi:
Aziz Ki alianza soka lake la kulipwa katika klabu ya ASEC Mimosas nchini Ivory Coast. Baadaye alihamia barani Ulaya na kucheza katika klabu mbalimbali kama vile Omonia Nicosia huko Cyprus. Kabla ya kujiunga na Yanga, Aziz Ki alikuwa anakipiga katika klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan.

Mabeto ni nani?
Hamisa Mobetto, maarufu kama Mabeto, ni mwanamitindo, muigizaji na msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania.

Amezaa na akina nani?
Hamisa Mobetto amejaliwa watoto wawili, mmoja ni mtoto wa kike aitwaye Fancy na mtoto wa kiume aitwaye Dylan.

Ni wa wapi?
Hamisa Mobetto ni Mtanzania.

Historia yake kwa ufupi:
Hamisa Mobetto ni maarufu kwa kazi zake za mitindo na uigizaji. Ameonekana katika video mbalimbali za muziki na filamu. Hamisa pia ni mjasiriamali na ana biashara yake ya mitindo.

Aziz Ki ana umri wa miaka 28.
Hamisa Mobetto ana umri wa miaka 30.
 
Ila watu yamewatoka maneno.. kila mmoja azingatie atakacho yeye na mtu hawezi kupangiwa aishi vipi
 

Kwenye sensitivity test hii tunaita False Positive.

Itoshe kusema: Tuwatakia heri kwenye ndoa yao. Inshallah
 
Unachosahau ni kwamba aliyeolewa ni "Hamisa"... sio singo maza yoyote yoyote tu
 
Aziz k wakuja kapewa mbuzi kwenye loba.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Yaani unasema

wanaume majasiri sana Dunia ,baada ya mashoga wanaume wengine majisiri ni hawa wanaojitwisha single mother

Waseng*e ndio unawaita wanaume majasiri
Unaona inavyotisha yaani mwanaume ufirwe , lakini mashoga wapo tayari nazani Hilo ni tisho kubwa sana ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…