Single mother, wajane na wataraka mpite hapa

Single mother, wajane na wataraka mpite hapa

ARGAN MARA

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
1,020
Reaction score
2,716
A'salaam aleykum warahmatullah wabarakaatu

MTAFUTAJI
Jina: xxxx
Jinsia: mwanaume
Umri: 30
Umbo: wastani
Dini: Muslim
Hali: nafata dini sawasawa
Elimu: bachelor of social work
Kazi: mfanyabiashara
Hali ya ndoa: sina ndoa
Watoto: sina
Unapoishi: Dar es salaam


ANAETAFUTWA
Jinsia: mwanamke
Umri: 22-25
Umbo: wastani
Dini: Muslim
Hali: anafata dini sawasawa
Elimu: ya dini tu
Kazi: asiwe na kazi
Hali ya ndoa: ajawahi kuolewa ama mtaraka
Watoto: asizidi mmoja
Eneo: Dar, Tanga, Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Zanzibar na Mwanza

Allah atufanyie. Wepesi
 
Bro umeamua kujilipua kuchukua shamba lenye mgogoro😢..........kwanini usiendelee kuwa na subira utampata kigoli au mwanamke asie na mtoto.
 
A'salaam aleykum warahmatullah wabarakaatu

MTAFUTAJI
Jina: xxxx
Jinsia: mwanaume
Umri: 30
Umbo: wastani
Dini: Muslim
Hali: nafata dini sawasawa
Elimu: bachelor of social work
Kazi: mfanyabiashara
Hali ya ndoa: sina ndoa
Watoto: sina
Unapoishi: Dar es salaam


ANAETAFUTWA
Jinsia: mwanamke
Umri: 22-25
Umbo: wastani
Dini: Muslim
Hali: anafata dini sawasawa
Elimu: ya dini tu
Kazi: asiwe na kazi
Hali ya ndoa: ajawahi kuolewa ama mtaraka
Watoto: asizidi mmoja
Eneo: Dar, Tanga, Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Zanzibar na Mwanza

Allah atufanyie. Wepesi
Kila la kheri sheikh
 
Back
Top Bottom