Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Pamoja na kwamba biashara ya ngono imekuwepo tangu enzi na enzi, katika nyakati za miaka ya hivi Karibuni kumekuwa na ongezeko la wanawake kuzaa nje ya ndoa bila kuwa na msingi wowote kimaisha, na wengine baadhi wameachika kwenye ndoa, wengine ni ndoa za vichaka yaani michepuko.
Shuhuda yangu kama mtu ambae nasafiri sana mikoa na miji mbalimbali hapa Tanzania. Katika wanawake 10 ambao tunaona ni pisi kali kwenye hio miji hasa maeneo ya bata 7 au 8 ni wana watoto, ni watatu au wawili tu ndio hawajawahi kuzaa mtoto.
Na katika hao kundi hatari la wanawake ni wale wenye watoto kwanzia miaka 2 hadi 4, hawa ni nyoko dadeki wana njaa kumzidi hata kunguru wa DSM.
Mambo ni mengi mengine mtaongezea wenyewe kwa kutaja baadhi ya miji na wilaya na mikoa, tunaanza na Singida, Manyara, Kahama, Shinyanga, Manyoni, Karatu, Babati, Tunduru, Masasi, Lindi, Mtwara, mbaba bay, Mbinga, Songea, Makambako, Njombe, Iringa, Ruaha Mbuyuni, Mikumi, Ifakara, Kilombero, Mang'ula, Morogoro Town, Kilosa, Same, Moshi Town, Arusha Town, Chalinze, Mkata kwa msisi, Handeni, Tanga mjini, Mlandizi, Gairo, Mto wa mbu, DSM wilaya zake zote, Kilosa, Dodoma, Mwanza, Bunda, Bukoba, Geita, Katoro, Runzewe, Tabora, Nzega na Sikonge huku ni nyoko balaaa.
Kila sehemu single mothers wanaongoza wao hata kwenye madanguro na mabarmaid ni wao tu.
Ni wakati acha ukweli uendelee kusemwa.
Tukutane kwenye comments.
👍👍👍 Wadiz