Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli bro uko sahihi 100%Ni kweli mkuu, huwa nawaambia hata watu wangu wa karibu kauli hii. Ila mkuu hawa wanawake nao wanashida mahala. Wana misjudge sana wakati wa uschana wao. Wakiwa waschana huwa hawawataki wanaume wenye maadili na mwelekeo wa maisha. Wanawaona wahamba. Wanawataka wanyoa viduku, wapaka poda, wavaa milegezo nk. Wakishazalishwa hawahudumiwi na wanakimbiwa. Ndio wanaanza kuhangaika na masponsa. Wanaanza kugawa kwa wanUme wenye wake na familia ili hali wakijua kabisa hakuna future ili amlee huyo mtoto.
Kumbe alikosea nyumaaa, alipo toa kwa blaza men kwa kufuata swagz. Hapo ndio mwanamke huanza kuwa malaya malaya tu.