Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu unaoa ili akusaidie kutafuta?Ukioa singo mama ni ngumu kulala njaa
lAkin hawa wajinga wengine ukikosa wew mwanaume ndo basi hyo,
Hakika Iko ivyo sababu Wana focus ya maisha ya watoto wao wakijua baba atamtafuta familia nyingne Kisha mtoto hatokuwa na nafasi nzur Kwa baba ingawa sio woteeeeMiongoni mwa Aina ya wanawake wapambanaji katika hii Dunia ni Hawa single mothers. Big up sana💪
NB: unaweza kuwa mwanamke mpambanaji Kama ukiamua kuwa hivyo,
"siyo mpaka upigwe tukio"
Kuna demu mmoja aliwahi kuniambya, gharama za shule,mavazi na malazi yeye ndiye anayegharamia so lazima apambane sana.Hakika Iko ivyo sababu Wana focus ya maisha ya watoto wao wakijua baba atamtafuta familia nyingne Kisha mtoto hatokuwa na nafasi nzur Kwa baba ingawa sio woteeee
Daaah changamotoKuna demu mmoja aliwahi kuniambya, gharama za shule,mavazi na malazi yeye ndiye anayegharamia so lazima apambane sana.
Mda huo tupo kitandani tunapiga stori😜