Sintah alikwama sana kwa Juma Nature

Aliitwa Cool James Mtoto wa Dandu alifariki kwa ajali ya gari opposite na Millennium Tower
 
Umenikumbusha mbali kiongozi, kuliwahi kuwa na mwanamke mkali kichizi pia enzi hizo, Nina nadhani alipotelea wapi huyu mrembo, nisamehe kiongozi kwa kwenda nje ya mada!
Nina was kaole aisee alkuwa kisu balaa
 
Cool James huyo maarufu kama Mtoto wa Dandu. Video ilikuwa bomba sana ile. Mahaba kama yote na Sintah.

Halafu Sintah alimdaka mchizi juu kwa juu.. Enzi hizo kuna wadada wa mjini tena wengine walitajwa na Mwana FA kwenye 'Mabinti' ambao wao walikuwa wakivizia ma-don wakitua Bongo tu wanajilengesha mahotelini huko. Enzi za ujip wa akina Sean Paul, Shaggy na vipusa kibao tu. Acha kabisa!

Michezo hiyo imefanywa sana na dada zangu Mboni Mhita wa The Mboni Show, Rashida Wanjara, Mange Kimambi, Jestina George, Shamimu na wengine siwataji hapa maana wana heshima zao hivi sasa wameshaolewa.

Bydway, jamaa (Cool J) alifanya mapinduzi makubwa sana ya muziki wa Bongo akiwa behind the scenes. Aliishi mbele Ila aliwekeza sana akili yake hapa Bongo. Wahuni wa Bamaga wakamfanyizia na kumfuta kabisa kwenye uso wa dunia mamaee...

Ameacha legacy moja tu nayo ishaelekea kuzimu. Kili Music Awards!

Nimechoka kuandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

CJ alikua ni mtu muhimu sana katika maendeleo ya muziki wetu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
dogo biko....iddy ligongo
 
[emoji16][emoji16][emoji16]ila atakuwa Mambo safi, kweli kuna siku nimemuona kinondoni mkwajuni ndani ya Prado jeusi na wanae!

Mzuri asee huyu mama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yalikuwa safi sana, aliolewa na diwani wa kata gani sijui ila lilikuwa zungu la poda sijui na hali hii ya jiwe anafanya biashara gani, alikuwa na pesa haswa.
 
Weeee....siku hizi ana mishe gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Norah alishindwa kusoma upepo, alipata mume akamuoa kabisa kwa ndoa akawa house wife, alivyoona amesahaulika akalianzisha kwa mume, mume akamwambia achague kuigiza au ndoa akachagua kuigiza akalamba talaka akarudi mtaani, akakuta tasnia imevamiwa na ma miss..kina sepetu uwoya na wengine..akabaki na muvi zake zikakosa mashiko basi tena yupo yupo tu.
 
Mtoto wa Dandu, ndie alianzisha tuzo za kilimanjaro music Award..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…