Cool James huyo maarufu kama Mtoto wa Dandu. Video ilikuwa bomba sana ile. Mahaba kama yote na Sintah.
Halafu Sintah alimdaka mchizi juu kwa juu.. Enzi hizo kuna wadada wa mjini tena wengine walitajwa na Mwana FA kwenye 'Mabinti' ambao wao walikuwa wakivizia ma-don wakitua Bongo tu wanajilengesha mahotelini huko. Enzi za ujip wa akina Sean Paul, Shaggy na vipusa kibao tu. Acha kabisa!
Michezo hiyo imefanywa sana na dada zangu Mboni Mhita wa The Mboni Show, Rashida Wanjara, Mange Kimambi, Jestina George, Shamimu na wengine siwataji hapa maana wana heshima zao hivi sasa wameshaolewa.
Bydway, jamaa (Cool J) alifanya mapinduzi makubwa sana ya muziki wa Bongo akiwa behind the scenes. Aliishi mbele Ila aliwekeza sana akili yake hapa Bongo. Wahuni wa Bamaga wakamfanyizia na kumfuta kabisa kwenye uso wa dunia mamaee...
Ameacha legacy moja tu nayo ishaelekea kuzimu. Kili Music Awards!
Nimechoka kuandika.
Sent using
Jamii Forums mobile app