Sintah alikwama sana kwa Juma Nature

Unamsemea Idd Ligongo?
 
Kiroboto huenda alitumia sayansi asilia kumzuzua jlo wa bongo (wa zamani). Umemtaja na cheki-bobu-Machache au nimechanganya mafaili? Kweli ndo maana joto lilizidi asee
Kiroboto alikuwa Super star those days .Wakati huo wanaume vs East Coast team ya alina A +Y,mwana FA na King crazy GK.Nuture alikuwa juu mno
 
Huyu Masamaki,nampata sana! Alishawahi mla Uwoya miaka hiyo! Jina lao maarufu ni wauza mboga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! We jamaa unawajua sana hawa watu! Nakumbuka enzi hizo wapo pale Shinyanga kwa Mama Payton!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ watoto wa kike ni majanga, yule Tanasha mama yake alipambana kuhakikisha ana mwanzo mwema ameishia kuzalishwa na Diamond.
Wewe mond ange taka papuchi yako angeitandika tuu usingechomoa, lazima angekupelekea motoπŸ”₯πŸ”₯
 
Mbona Sinta alikuwa mtu wa kawaida tu, hana la maana ama maajabu. Hivi bado yupo?
 
Mkuu japo Uzi ni wazamani Ila bado naomba ufunguke zaidi..kifo Cha Dandu kilitikisa Sana japo nilikua mdogo.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ watoto wa kike ni majanga, yule Tanasha mama yake alipambana kuhakikisha ana mwanzo mwema ameishia kuzalishwa na Diamond.

Hakuna mwanamke anayejiheshimu atatoka na Diamond. Acha tu awazalishe.
 
Mkuu japo Uzi ni wazamani Ila bado naomba ufunguke zaidi..kifo Cha Dandu kilitikisa Sana japo nilikua mdogo.

Yaliyopita si ndwele. Yapo Madai ajali na tragedy ya Dandu ilikuwa planned na sio natural cause. Hayo yanasemwa kwenye corridors tu, hayajathibitishwa. Sababu kuu; monopolization. Kuna watu walitaka kumiliki game na kulifanyia ubepari na WALIFANIKIWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…