Sintah alikwama sana kwa Juma Nature

Nakumbuka hii halafu wewe mhenga mwenzangu kumbeeee!!na mjini hatujaja na smartphone wala Facebook!!!
Haahaaaaa, alikuwa namkimbia marehemu mkewe maskini, mzee alikuwa nyumbani kwa madame Ritha anakula uroda kumbe mama alikuwa ameshapata habari zao akamzukia, mzee akaona isiwe tabu akaparamia ukuta, .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mdada yupo bado kwani?
Pepo za vuli na kusi zilijichanganya wakati ule
Alikuwa hodari wa kuchambua maisha ya watu
Wakati wa kuchambua ujue kuna siku nawe utachambuliwa
Yupo...tulikuwa nae kwenye msiba wa boss mikocheni!

Halafu ana kamwili kadogo unaweza dhani ni rika la lulu kastuli...sema anajikwatua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…