Sintah alikwama sana kwa Juma Nature

Zamani kulikuwa na mademu visu natural kama kuna Nargis Mohamed, Sinta, K Lyinn, Nancy Sumari, Amina Chifupa, Rah P na wengine wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah umenikumbusha Raha P kasepa bongo kajua States anatoboa dah kakutana na balaa shule kaacha ada hana kakutana na Mniga kamtia mimba kumbe jamaa deals zake ni kuuza sembe kabebwa akatiwa gerezani .

Demu alivurugikiwa sana nusu awe chizi ila ana mdogo wake mmoja Caren Peyton katusumbua kitaa then akatimkia states

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu barafu stori zako huwa tamu sana.
 
Delux pamechoka sana sasa hivi. Nilikutana na mmiliki wake familia ya wale Wahaya....dah hatari sana.

Sent using my Nokia Torch
 
Delux pamechoka sana sasa hivi. Nilikutana na mmiliki wake familia ya wale Wahaya....dah hatari sana.

Sent using my Nokia Torch
Ni kweli mkuu,lakini enzi zake Delux ilikuwa kijiwe cha wajanja,baadae ikageuka kuwa kama Guest House tu ya Short time na kwa nje pale kulikuwa na malaya wanasumbua sana,hata wale malaya wa mtaa wa vitunguu wakawa wanazengea pale,pakashuka hadhi kabisa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ eti mla ndumu
 
Albert G Sengo...Kwa sasa jamaa yuko Jembe FM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…