Sintah alikwama sana kwa Juma Nature

Sintah alikwama sana kwa Juma Nature

Miaka ya 2000 huko ilizuka ghafla couple ya nguvu iliyobustiwa na magazeti ya udaku. Nature na Sintah..

Okei. Mapenzi huota kokote lakini hii combo mpaka leo siisomi ilikaaje kaaje.

Sintah alikuwa mtoto wa mjini. Mdangaji kwa lugha ya kisasa ambaye alibahatika kupata exposure mapema ya ujanja ujanja wa hapa na pale. Ilifikia hatua akawa anaitwa Jennifer Lopez 'JLo' wa Bongo. Very classic!

Nature yeye alikuwa supastaa kutoka uswahilini huko Temeke. Jina kubwa kuliko uwezo. Uwezo wa kutengeneza maisha na kuishi kinyota. Kibongobongo alipeta lakini hakuwa mjanja. Well, alikuwa mjanja wa kishamba.

Ni kudanga? Labda. Zile story za kwenye Inaniuma sana na Sitaki demu zinaweza kuchora picha halisi ya jamaa alivyokuwa anatumika bila kujua maana drama za mahusiano yao zilikuwa dili kwa magazeti. Enzi hizo Sintah ndio queen wa maskendo hakauiki magazetini kabla hajaja kurithiwa na Wema Sepetu.

Swali la mshangao: Kama Sintah alikuwa akicheza league za vigogo wakiwemo akina Cool J, Dkt. Machache na the co., Meddy MP na ma-don wengine wa enzi hizo, kwa Kiroboto alikwama wapi?

Ustaa? Alikuwa nao.
Pesa? Ipi.
Mapenzi? Asingemfanyia masinema.

Pisi ilikwama sana. Muda umeongea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah..mkuu umenikumbusha mbali sana kumbe humu wahenga tuko wengi maana hawa watoto wa .com waliojaa humu ukiwauliza Sinta hawamjui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale mliochelewa kufika mjini na mliozaliwa 95, mtoto Sinta alikuwa moto wa kuotea mbalii
Huyu hapa
View attachment 1061953
Huyu mtoto kakua tunamuona,,baadae akaja kubeba wa umri wetu.Hata mama yake enzi zake alitusumbua sana,Mwanamke wa kipare Jasmine....Looh!!Kweli wakati ni ukuta,alikuwa na best yake mpwa wa Mzee Kingunge,walisumbua kweli enzi za ulimwengu wa analojia.
 
Kalikuwaga kamechora tattoo kiunoni imeandikwa J lo kama sikosei

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati alienda kutangaza Radio Clouds Mwanza,pale jengo la CCM round about...akiwa na mtangazaji wa Clouds ya Mwanza ambapo kuanzia saa 9 wanajiunga na Clouds Mwanza na Dsm hawasikiki,huyu jamaa wa Mwanza jina limenitoka kidogo.

Alipofika Mwanza,kuna bwanamdogo mshamba tu alikuwa anaitwa Jose Masamaki akambeba Sinta,enzi hizo anamiliki mitumbwi na samaki inakufa sana ziwani.Alikuwa anakula bata pale Deluxe Hotel barabara ya Uhuru karibu na Salma Corn.Pale Delux ilikuwa kijiwe cha wahuni wa kutoka Migodini Geita na vijana wa Samaki Mwanza.

Kulikuwa kuna Malaya wanajiuza toka Rwanda ila wanajidai ni Wanyambo wa Karagwe...Kuna jamaa yangu tumeenda Mwanza akalala hapo Deluxe na mtoto wa Kigali,asubuhi akakuta hata suti aliyotundika ukutani kuvaa kaa ajili ya semina imetunguliwa.
 
Jose Masamaki aka Jose Niga!
 
Hapana Norah ndo wa5!!

Monalisa aliolewa na Tyson,Amina na Mpakanjia,Norah aliolewa na Ng'wizukulu,Maimartha alikua na uchumba sugu na P.didy,Sintah J.Lo wa bongo[emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaa...!!! Basi walikuwa sita sio wa5 nora nyota yake ilikuja kuzimwa na johary..
Nilikuwa nampenda saana monalisa huyu dada alikuwa mzuri na mwenye kipaji, niliipenda saana movie ya girlfriend na wimbo wake kabisa.

Ng'wizukulu jilala si ndio alikufa na ajali ya garu akitokea south africa!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndani ya nyimbo za bongo fleva na "MIRIAMU ODEMBA" toto la kiafrika.
 
M
hahaa...!!! Basi walikuwa sita sio wa5 nora nyota yake ilikuja kuzimwa na johary..
Nilikuwa nampenda saana monalisa huyu dada alikuwa mzuri na mwenye kipaji, niliipenda saana movie ya girlfriend na wimbo wake kabisa.

Ng'wizukulu jilala si ndio alikufa na ajali ya garu akitokea south africa!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mganga wa jadi Ngwizukulu Jilala (mjukuu wa Jilala) alikufa kule Angola baada ya kuwatapeli jamaa wa kule. Jamaa alikuwa anatumia uganga wake kucon watu ila kule hawakumwacha.
 
Back
Top Bottom