Sintah amchana LIVE Nuh Mziwanda

Sintah amchana LIVE Nuh Mziwanda

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
"Jamani jamani mnaosema ooh umasikini mmbaya kwanini Shilole anamdhalilisha bwana yake, jamani kwani huyo ‘so calle' Nuh or ‘whatever' his name is kalazimishwa?? unajua siku hizi mapenzi yamemekuwa ‘free' sana yaani ukiona mtu anakupa vitasa mara humuelewi yanini kun'ga'gania ‘as if' umezaliwa naye, mtu uliyemjua ukubwani nae akupe shida ‘BIG NO i would rather stay single for the rest of my life', kwanza sio adhabu kuwa ‘single' kuliko kuwa katika ‘unhealthy relationship' ...

- Mnaomuonea huruma huyo ‘so called' Mziwanda ni wanafiki mapenzi ya mtu mbili kama anapigwa vitasa na anatulia anajua mwenyewe alichokifanya na atulie, kuliko kusema ni umasikini kwani yeye ni kiwete? ina maana hawezi kutafuta kazi akapata mpaka awe msingi kiuno? ‘hell no' muacheni apokee makonde, vitasa, nk,- vijana kama yeye wapo wengi tuu kazi ‘kujisexisha' na kuwa msingi kiuno mjini ndio wanafanya taifa linadidimia kwa umasikini, vijana wenye nguvu wanatakiwa wafanye kazi matokeo yake wanajipamba tu , halafu mnalalmika ooh wazee hawatuachii nafasi maofisini watawachiaje na nyie siku hizi mnapenda ‘slope full' kutelezaa…"
- Mwisho wa kunukuu

===========

Jamani, haya si maneno yetu ni maneno ya mwanadada Sintah tuliyoyanukuu kama yalivyo toka kwenye blog yake. Sana sana ‘tume-edit' tu kuweka Kiswahili fasaha ili baraza la Kiswahili lisije sema tunachangia watoto kupata ‘FAIL'.
 
Nuh vumilia mdogo wangu,ha ha ha haaaaa
 
Mchuma janga hula na wakwao!
Aibu yake na nduguze
 
Sasa badala ya kumshauri huyo Mziwanda wa Shishi wewe unamnanga.

Ngoja mimi nimshauri dogo....siku zote mvumilivu hula mbivu dogo langu, cha muhimu sasa hivi wewe hakikisha anakukatia NSSF kila mwezi, ili siku anakwambia its over upate kwa kuanzia....na sio ukiona anakuja kukupa vitasa na wewe unasimama tuuu kama mshumaa...huna miguu ? vaa tracksuit muda wote ili ukiona kimenuka unakuwa Filbert Bayi kwa muda...hata ukikutana na kina Young D unasema "napunguza kitambi".
 
Ivi inakuaje kidume unapigwa ovyo kiasi chote icho????yan uwez okota ata jiwe mpopoe thn mbio,akafie Igunga tutazika alaah
 
Nyie wanaume wa darisalame acheni umbea!Pilipili usoila yakuwashiani?Fanyeni kazi acheni majungu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Huyo nae anataka asisahauliwe na Shigongo,cha ajabu kipi watu wasichokijua kuhusu Nuh mpaka ana jishaua,atafute na yeye kichanga chake....
 
Back
Top Bottom