Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Huyo naye akae kimya,asijifanye mjuaji sana wakija wenye hela zao atatoka au ndo kujishaua tu
Hivi clement hana mke?
Hivi clement hana mke?
Hahaha umeniwahi. Tunakumbushwa unapomnyooshea kidole mwenzako jua kuna vidole vitatu vinakupoint wewe mwenyewe. Chunguza nafsi yako kwanza kabla hujamtupia mwenzio mawe!. Yule Professor wake alozaa nae si alimfuatia pesa au?!
Kila siku nasema bora marafiki zangu wawe mapaka na mambwa, sasa so called kigogo wa madam amekaa hapo juu sasa, sasa huyu dada jamani daah yaani mtu umemjua hata miezi miwili bado umeshajisexisha kiasi hiki na kuchora tattoo, kweli wanawake tunajishangaza wenyewe, sasa yeye anaona anamkomoa mwenzie haaa jamani hii Tanzania kuna vibweka kila kukicha
Hivi clement hana mke?
Kuna gazeti liliandika mahojiano na Mke huyo alikiri kuwa wameachana kila mtu ana maisha yake kwa sasa.
Na we ushalowa.
Wanawake mnapenda miteremko!
Hahaha umeniwahi. Tunakumbushwa unapomnyooshea kidole mwenzako jua kuna vidole vitatu vinakupoint wewe mwenyewe. Chunguza nafsi yako kwanza kabla hujamtupia mwenzio mawe!. Yule Professor wake alozaa nae si alimfuatia pesa au?!
Bora kama hawako pamoja make sipati picha maumivu ambao angekuwa anapata mama watu, jinsi vibinti vidogo vinavopasiana mme wake....
Pesa sio suruhu ya matatizo yote!