Sintah Amponda demu Aliyempora Wema Bwana...

Sintah Amponda demu Aliyempora Wema Bwana...

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Kila siku nasema bora marafiki zangu wawe mapaka na mambwa, sasa so called kigogo wa madam amekaa hapo juu sasa, sasa huyu dada jamani daah yaani mtu umemjua hata miezi miwili bado umeshajisexisha kiasi hiki na kuchora tattoo, kweli wanawake tunajishangaza wenyewe, sasa yeye anaona anamkomoa mwenzie haaa jamani hii Tanzania kuna vibweka kila kukicha
Naima aliechukua nafasi ya madam

yaani ndipo nina amini wanawake
mwalimu wetu ni kipofu
upo na mwanaume less than 2 months
unajichora hivi
 
Kamata fursa twend' zetu ila bongo nako kuna maajab sana. Sinta unakumbuka songi la Juma Nature la kitambo enzi zileeeee? Hapo ni faranga tuu ndo zinapendwa

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Huyo naye akae kimya,asijifanye mjuaji sana wakija wenye hela zao atatoka au ndo kujishaua tu

Hahaha umeniwahi. Tunakumbushwa unapomnyooshea kidole mwenzako jua kuna vidole vitatu vinakupoint wewe mwenyewe. Chunguza nafsi yako kwanza kabla hujamtupia mwenzio mawe!. Yule Professor wake alozaa nae si alimfuatia pesa au?!
 
yy amekamata fursa,wanamshangaa huyu badala ya kumshangaa jack wolper aliyebadilisha dini kisa mapenzi alafu amemwaga amerudi kwenye dini yake inaonyesha hana msimamo na maisha yake yuko driven na hela ntnhg else.anyway ukiwa na hela unaweza kumpata mwanamke wa aina yoyote.
 
Kila siku nasema bora marafiki zangu wawe mapaka na mambwa, sasa so called kigogo wa madam amekaa hapo juu sasa, sasa huyu dada jamani daah yaani mtu umemjua hata miezi miwili bado umeshajisexisha kiasi hiki na kuchora tattoo, kweli wanawake tunajishangaza wenyewe, sasa yeye anaona anamkomoa mwenzie haaa jamani hii Tanzania kuna vibweka kila kukicha
Naima aliechukua nafasi ya madam

yaani ndipo nina amini wanawake
mwalimu wetu ni kipofu
upo na mwanaume less than 2 months
unajichora hivi

Ndo ushajichora weeee hlf unaachwa cjui unabaki na pozi gani...mapenzi ya huyo bwana mwenyewe inaonekana ni ya BLUETOOTH
 
Kuna gazeti liliandika mahojiano na Mke huyo alikiri kuwa wameachana kila mtu ana maisha yake kwa sasa.

Bora kama hawako pamoja make sipati picha maumivu ambao angekuwa anapata mama watu, jinsi vibinti vidogo vinavopasiana mme wake....
 
Hahaha umeniwahi. Tunakumbushwa unapomnyooshea kidole mwenzako jua kuna vidole vitatu vinakupoint wewe mwenyewe. Chunguza nafsi yako kwanza kabla hujamtupia mwenzio mawe!. Yule Professor wake alozaa nae si alimfuatia pesa au?!

Hakuzaa na Professor kazaa na mtu wa kawaida tu ndio aliyefunga nae ndoa isipokuwa kuna baba mmoja mtu mzima mganda anafanya kazi UN Ethiopia (kibuzi chake) ndio alimdanganya anamtoto nae wa kiume kwani huyo baba kwenye ndoa yake hanaga mtoto wa kiume basi ukimuona Adiss Ababa ni kujisifia tu eti balozi wa UN sijui anaubalozi gani nae anakuwa ameenda utoa papuchi kwa hiyo baba anayemdanganya.
 
Dih ajuza kafufuka nae aache watoto wale ujana mbn enzi za staki demu tulikausha
 
Bora kama hawako pamoja make sipati picha maumivu ambao angekuwa anapata mama watu, jinsi vibinti vidogo vinavopasiana mme wake....

Kwa maisha ya sasa hakuna mwanamke anayeweza kukaa kwenye ndoa tata hivi!
 
Pesa sio suruhu ya matatizo yote!

Aissee mkuu Ringtone ebu pitia upya maneno uliyoyandika...umesema pesa sio nini...??
Sasa ebu kosa pesa ndio utajua applicability ya neno MATATIZO kwenye maisha ya mwanadamu
 
Back
Top Bottom