Sintah Amponda demu Aliyempora Wema Bwana...

yeye ashakosa nae wanaume amuache mwenzie atumie fursaa
 
Wewe watu wako katika biznes hapo hiyo ndio risiti kuwa mzigo ushanunuliwa!
 
Hahaha umeniwahi. Tunakumbushwa unapomnyooshea kidole mwenzako jua kuna vidole vitatu vinakupoint wewe mwenyewe. Chunguza nafsi yako kwanza kabla hujamtupia mwenzio mawe!. Yule Professor wake alozaa nae si alimfuatia pesa au?!

wale wale kasoro majina!!!!!!!!!!!

na mimba yake ya safari hii haikuagi tu
 
hivi saad mwanamboka kaachana na Naima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…