Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe watu wako katika biznes hapo hiyo ndio risiti kuwa mzigo ushanunuliwa!Kila siku nasema bora marafiki zangu wawe mapaka na mambwa, sasa so called kigogo wa madam amekaa hapo juu sasa, sasa huyu dada jamani daah yaani mtu umemjua hata miezi miwili bado umeshajisexisha kiasi hiki na kuchora tattoo, kweli wanawake tunajishangaza wenyewe, sasa yeye anaona anamkomoa mwenzie haaa jamani hii Tanzania kuna vibweka kila kukicha
Hahaha umeniwahi. Tunakumbushwa unapomnyooshea kidole mwenzako jua kuna vidole vitatu vinakupoint wewe mwenyewe. Chunguza nafsi yako kwanza kabla hujamtupia mwenzio mawe!. Yule Professor wake alozaa nae si alimfuatia pesa au?!