Sasa ww unaona tim znafanya usajiliUnamaansha kinachoendelea ni kinyume na utaratib wa tff, au namna gan
Naamin kuna kakifungu flan wanaegemea, hawawez kuichezea sharub tff this much. Tusubir waje wenye uelewa na jambo hili wanitoe ushambaSasa ww unaona tim znafanya usajili
Na kutangaza kabsa na unaona dirisha
La usajili halijafunguliwa,,hapo kuna nn
Kingine kama co watu wanaweka vitambi
Mbele
Kama ka kifungu ka namna hyoNaamin kuna kakifungu flan wanaegemea, hawawez kuichezea sharub tff this much. Tusubir waje wenye uelewa na jambo hili wanitoe ushamba
Bora mwenzio ameomba aelekezwe kwa nini wanafanya hivyo! Kuliko wewe. Kukaa kimya pia ni akili kuliko kusema jambo usilolijuaSasa ww unaona tim znafanya usajili
Na kutangaza kabsa na unaona dirisha
La usajili halijafunguliwa,,hapo kuna nn
Kingine kama co watu wanaweka vitambi
Mbele
Tff kuanzia Rais , Katibu na wajumbe wote ni Bi Hindu fc ndiyo maana wanawabeba
Hiki ni kipindi cha kuingia mikataba.
Usajili wenyewe haufanyiki hadi dirisha lifunguliwe na hii ndio kazi ya TFF.
Wakati dirisha la usajili linapofunguliwa, taarifa za wachezaji pamoja na nyaraka zao hasa nakala ya mkataba ndio huambatanishwa
Asante sana, khususan hapo ulipomalizia ndo pamenikhusu zaidihupendi kabisa kutumia akili . kwa nini ? unajisikia raha gani kutotumia akili kabisa? tumia hata mara moja moja please...ni vizuri kutumia akili kuliko kutotumia.
unaombea arudi nani? malinzi na manji? ha ha ha..... nambie team ambayo imekwambia imemsajili mchezaji flan. unafaham maana ya usajili? unafaham maana ya kuingia mkataba kuwa usajili wangu ukiisha na team flani mimi ntakuja kujiunga na ninyi?
Shukrana sana mkuu... imekaa poa sasa