Nkwe2RG
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 231
- 224
Wakuu, salaam!
Mimi ni layman kwenye masuala ya kanun za kabumbu. Hivi, inakuwaje kipindi hiki baada ya kumalizika kwa msim wa ligi kuu vpl 2017/2018 dirisha kuu la usajili bado halijafunguliwa lakin tunashuhudia clubs za Chamazi, Unyamani, wakamua alizeti wakiendelea na usajili na kuwatangaza kabisa na pengine kusafiri na team kama vile Kaheza, Ngoma na n.k. kanun zimekaaje kukhusu usajili nje ya muda makhsus wa usajil.