Sintofahamu Ajira za Walimu

Zinafika mkuu, tokea 2015 mpk 2023
Kuanzia Cert mpk Degree ZAid ya watu 15,000 wanagraduate ualim apa TZ
Degree na diploma secondary Wana two teaching subjects ndo maana idadi haiwez kuwa 176k
 
Unakuta Mwl mmoja ameitwa kwenye usaili zaidi ya mara moja ndicho kinachofanya idadi ionekane kubwa kuliko uhalisia.
 
Lakini graduate kwa minimum hawawez kupungua 120,000 tokea 2015
 
Degree na diploma secondary Wana two teaching subjects ndo maana idadi haiwez kuwa 176k
Chukua idadi ya mwaka mmoja ya graduate ya walimu ni minimum 15,000 vyuo vyote kuanzia cert mpk Degree.
15,000 X 8yrs=120,000 minimum
Bado ni wengi sana
 
Sio wote walioitwa kwenye usaili wengine wamekatwa wengine hawakuomba

Nafasi zilizoombwa ni 176k kupata idadi ya walimu gawa kwa 2 means walimu walioitwa kwenye usaili wapo 88,000 kama watazidi ni kidogo hasa wale wa certificate na diploma
 
Stats zinachanganya izo kinoma. Ila bado ni idadi ni kubwaaa. Yani usaili wakichkua waliopata 100% ndo wanawez kuchuja vzur
 
Sio wote walioitwa kwenye usaili wengine wamekatwa wengine hawakuomba

Nafasi zilizoombwa ni 176k kupata idadi ya walimu gawa kwa 2 means walimu walioitwa kwenye usaili wapo 88,000 kama watazidi ni kidogo hasa wale wa certificate na diploma
Kwenye wingi ni kweli ni wengi ila hawashindwi kuwafanyia interview mimi nahisi ni maswala ya kusiasa ndio yaliyosababisha kusitishwa kwa interview na sio uwingi wa walimu sidhani
 
Na wingi unachangia katika kanuni ya recruitment uwa Kuna shortlisted candidates,,Utumishi iyo kanuni hawaizingatiagi, mwishowe wamekutana na walimu 120+k kuwafanyia usahili watu wote hao sio mchezo
 
Kurudisha haiwezekani, ila chakufanya waajiri kwa miaka yani waanze 2015 kuja mbele lasivyo kuna watu ajira za serikali wasahau
 
RUSHWA hi nchi haijawah kuisha, wenye nacho wanaongezewa ambae huna unabaki hapo hapo. kila ajira zikitoka familia zinajirudia n zile zile mzeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…