Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
Degree na diploma secondary Wana two teaching subjects ndo maana idadi haiwez kuwa 176kZinafika mkuu, tokea 2015 mpk 2023
Kuanzia Cert mpk Degree ZAid ya watu 15,000 wanagraduate ualim apa TZ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Degree na diploma secondary Wana two teaching subjects ndo maana idadi haiwez kuwa 176kZinafika mkuu, tokea 2015 mpk 2023
Kuanzia Cert mpk Degree ZAid ya watu 15,000 wanagraduate ualim apa TZ
Unakuta Mwl mmoja ameitwa kwenye usaili zaidi ya mara moja ndicho kinachofanya idadi ionekane kubwa kuliko uhalisia.Zinafika mkuu, tokea 2015 mpk 2023
Kuanzia Cert mpk Degree ZAid ya watu 15,000 wanagraduate ualim apa TZ
Chukua idadi ya mwaka mmoja ya graduate ya walimu ni minimum 15,000 vyuo vyote kuanzia cert mpk Degree.Degree na diploma secondary Wana two teaching subjects ndo maana idadi haiwez kuwa 176k
Sio wote walioitwa kwenye usaili wengine wamekatwa wengine hawakuombaChukua idadi ya mwaka mmoja ya graduate ya walimu ni minimum 15,000 vyuo vyote kuanzia cert mpk Degree.
15,000 X 8yrs=120,000 minimum
Bado ni wengi sana
Stats zinachanganya izo kinoma. Ila bado ni idadi ni kubwaaa. Yani usaili wakichkua waliopata 100% ndo wanawez kuchuja vzurSio wote walioitwa kwenye usaili wengine wamekatwa wengine hawakuomba
Nafasi zilizoombwa ni 176k kupata idadi ya walimu gawa kwa 2 means walimu walioitwa kwenye usaili wapo 88,000 kama watazidi ni kidogo hasa wale wa certificate na diploma
Kwenye wingi ni kweli ni wengi ila hawashindwi kuwafanyia interview mimi nahisi ni maswala ya kusiasa ndio yaliyosababisha kusitishwa kwa interview na sio uwingi wa walimu sidhaniSio wote walioitwa kwenye usaili wengine wamekatwa wengine hawakuomba
Nafasi zilizoombwa ni 176k kupata idadi ya walimu gawa kwa 2 means walimu walioitwa kwenye usaili wapo 88,000 kama watazidi ni kidogo hasa wale wa certificate na diploma
Huko mimi sijuiLakini graduate kwa minimum hawawez kupungua 120,000 tokea 2015
Na wingi unachangia katika kanuni ya recruitment uwa Kuna shortlisted candidates,,Utumishi iyo kanuni hawaizingatiagi, mwishowe wamekutana na walimu 120+k kuwafanyia usahili watu wote hao sio mchezoKwenye wingi ni kweli ni wengi ila hawashindwi kuwafanyia interview mimi nahisi ni maswala ya kusiasa ndio yaliyosababisha kusitishwa kwa interview na sio uwingi wa walimu sidhani
Kurudisha haiwezekani, ila chakufanya waajiri kwa miaka yani waanze 2015 kuja mbele lasivyo kuna watu ajira za serikali wasahauSijui nani alitoa wazo la kuwa ajira za afya na elimu ziwe chini ya utumishi, yaani imekuwa ni changamoto Kubwa sana na inaleta complications na unfairness nyingi ambazo hazikwepo wakati ajira ziko chini ya Tamisemi na wizara husika Yani afya na elimu.
Unaweka interview Kwa watu kama 170k kwanza unawaletea gharama ambazo zitawarudisha nyuma pia bajeti ya ku run hizo interview mbona ingefanya mambo mengne mengi yenye tija Kwa jamii then hii burden yote magufuli ndo kasababisha sababu haikuwa anatoa ajira ktk miaka yake.
Solution ni jukumu lirudi Tamisemi kama zamani maana at least waliliweza hili. Utawafanyishaje interview aliyemaliza 2015 vs 2023. Sio fair kabisa.