Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Kabisa ni fair amna connection wala uchawa kupata kazi.Usaili ni mzuri,mtu ashindwe mwenyewe ila wachujwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa ni fair amna connection wala uchawa kupata kazi.Usaili ni mzuri,mtu ashindwe mwenyewe ila wachujwe
usaili ni muhimu , halafu hawa jamaa wapo vizuri sana, miongoni mwa taasisi chache zinazoendeshwa kwa uledi mkubwaMimi siungani na wewe! Acha utumishi wafanye kazi yao! Kwa idadi hiyo usaili ni lazima hamna namna mkuu!! Kama upo compentent wala hupaswi kuogopa usaili!
Kilichoongeza idadi hiyo ni idadi ya masomo ya kufundishia. Kama kuna mwalimu alituma maombi zaidi ya mara moja nikiwa na maana ya masomo mawili let say kiswahili na kiingereza idadi itaonekana walimu wawili.Kwa mantiki hii, angalia idadi ya walioomba
Unaweza kukuta hii walioomba ni watu 10,000.
Linganisha na watu 170,000. Wakitaka waliopata 100/100 wapite, je wakipata mia ya mia watu 80,000. Wataajirije?
Inawezekana mkuuKilichoongeza idadi hiyo ni idadi ya masomo ya kufundishia. Kama kuna mwalimu alituma maombi zaidi ya mara moja nikiwa na maana ya masomo mawili let say kiswahili na kiingereza idadi itaonekana walimu wawili.
Kwa hiyo 170,000 sio idadi sahihi ya watu.
Cool December mikeka ya ualimu inaachiwaMi naomba kuuliza, Ivi izi ajira za walimu kumetolewa tangazo jipya tayari!?
Wapi uko??Nafasi za kazi masomo ya
Physic and chemistry 1
Chemistry and biology 2
English and Literature 2
KISWAHILI and Geography 1
Kila siku anatangazaWapi uko??
Tangazo official bado, lakini habari za usaili wala mjomba ake na usaili hazipo tena , kaa kwa kutulia soon watatoa tangazo then mtapangiwa vituo vya kaziMi naomba kuuliza, Ivi izi ajira za walimu kumetolewa tangazo jipya tayari!?
Mmm watu 176K kiwachuja bila interview mbona mzikiTangazo official bado, lakini habari za usaili wala mjomba ake na usaili hazipo tena , kaa kwa kutulia soon watatoa tangazo then mtapangiwa vituo vya kazi
Itawezekana mbona miaka ya nyuma iliwezekana, kwa taarifa niliyopenyezewa ajira ni wa 12 kureport kituoni ni tarehe 13 January.Mmm watu 176K kiwachuja bila interview mbona mziki
Mkuu kipindi Cha nyuma ilikuwa Tamisemi,na mtu aliomba mikoa Hadi tano lakini mwaka huu mkoa mmoja afu interview zilifutwa,,Sasa watapangaje bila usaili?Itawezeka
Itawezekana mbona miaka ya nyuma iliwezekana, kwa taarifa niliyopenyezewa ajira ni wa 12 kureport kituoni ni tarehe 13 January.
Unapenda usahili mkuu,walimu wakisoma comment Yako mavi yaanagonga chupi😁Usaili kama Kawa kama dawa SEMA unaweza ukawa mmoja yaani gombania goal ukipenya umepenya
Mi naona Bora mtu upewe chance ya kujaribu ushindwe mwenyeweUnapenda usahili mkuu,walimu wakisoma comment Yako mavi yaanagonga chupi😁
Takwimu za watu 176k sio sahihi.Mmm watu 176K kiwachuja bila interview mbona mziki