Thabit Karim
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 393
- 735
Zaidi ya watu 500 wamekusanyika na kuandamana wakilalamikia gharama za maisha kuwa kubwa Jijini Kuala Lumpur Nchini Malaysia yakihusisha wanasiasa vijana wa upinzani ambapo pia walipata nafasi ya kutoa hotuba.Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter msemaji mkuu wa serikali ametoa taarifa ya wao serikali kukutana na viongozi wa shirikisho ...
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter msemaji mkuu wa serikali ametoa taarifa ya wao serikali kukutana na viongozi wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi (TUCTA) kwa ajili ya ufafanuzi na maongezi zaidi, "Ndugu wafanyakazi, Jumanne tarehe 26 Julai, 2022 Serikali itakutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) ili kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara katika mishahara ya Julai, 2022.
View attachment 2302219
Hi I kumbe ni kufadanua na siyo kuongeza Hela? Ufafanue Nini wakati tuliambiwa asilimia 23.3?Serikali kupitia ukurasa wa Twitter wa Msemaji Mkuu wa Serikali imesema itakutana na viongozi wa TUCTA kuhusu suala la nyongeza ya mishahara. Taarifa hiyo imesema hiv...
Mpaka umefungwa.Utaishia Nyololo mwagito.Imeisha hiyo!
Safarini Malawi
Udhaifu wa taasisi na uwepo wa katiba mbovu ni matokeo ya udhaifu wa jamii nzima (watanzania wote tu dhaifu). Sri Lanka raia wameiwajibisha serikali.Kuwa na taasisi imara ni muhimu sana, mfano hao TUCTA wanaweza kuwa chachu ya mabadiliko ya nchi hii, lakini kwa udhaifu wao wamewekwa mfukoni na watawala.
Kikundi cha Vijana Wachumia Tumbo. Vyama vya Wafanyakazi Nchi hii having Meno Tena. Kikokotooo wameuchuuza Wazee Wastaafu Ili wafe Maskini. Sina Hamu na hili kundi najuta kukatwa Mchango Kwa ajili Yao.Tucta hii iliyotuuza kwenye kikokotoo ndo itajadili nini na serikali. Tucta hii iliyojaa makada wa CCM itajenga hoja zipi na serikali ya CCM?