Sintofahamu Nyongeza ya Mishahara: Serikali Kukutana na TUCTA 26/07/2022

Kwahiyo wanakwenda kukaa na kuwaridhisha viongozi pekee
 
Tamthilia hii ya 'nyongeza ya mishahara' imeingia kwenye 'season two'.Nilikua naisubiri kwa hamu.Ngoja tuone.
 
Mambo mseto yanaumiza kichwa.
 
Hapo mtapewa maneno tu
Watumishi mloshapigwa, bajeti iloyopitishwa ishaanza kutumika
 
Ufafanuzi wenyewe ndio huu:
Mh. Raisi alitangaza kuongeza 23.3% ya mshahara kwa kima cha chini; na ametekeleza; na serikali imetekeleza. Pongezi nyingi Kwa serikali.
Wafanyakazi wanalalamika kwa kutomuelewa vyema mh. raisi.
Wakati huu serikali ikijitahidi kupunguza mfumuko WA bei uliosabishwa na COVID 19 na vita, tutoe rai Kwa wafanyazi kuchapa kazi ili kukuza uchumi na hatimaye pato la taifa na mishahara hapo mwakani.
Jiandae kuhesabiwa!
 

Binafsi nasikitishwa sana na kinachoendelea, ni kama walijua walicho kifanya na wakaandaa na Jibu. Na hao Tukta wamekuwa kama idara pale wizara ya kazi, any way Muda ndiye muamuzi wa haki tungoje kesho.
n.b. mods msiunganishe thread yangu na nyingine mnataka mpaka aanzishe nani ?
 
Tucta wamewauza wafanyakazi kwa bei chee.mara ya kwanza wameuzwa kwenye kikotoo na mara ya pili kwenye nyongeza ya mishahara.wafanyakazi jiondoeni kwenye vyama vya wafanyakazi ili muanze na mfumo mwingine vinginevyo hanatoboa popote sababu hao ni sehemu ya CCM.
 
Wameishasema wanaenda kutoa ufafanuzi. Mwenye akili asome na aelewe. Hakuna kipya Tena hapo

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Point tupu bora wajitoe kwenye huo ujinga
 
UJINGA WENU NDIO UNAOFANYA MUENDELEE KUDANGANYIKA ,HIVI KWA NINI MSIJIFUNZE KWA YANAO ENDELEA NCHI MBALI MBALI DUNIANI. KAENI KIKAO NYIE WENYEWE KWANZA NA KUIPA SERIKALI ULTIMATUM KABLA YA KUGOMA KABLA YA KWENDA KWENYE MEZA YA MAJADILIANO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…