SINTOFAHAMU YA AFYA YANGU

Chapa Isimame

Member
Joined
Aug 15, 2018
Posts
78
Reaction score
86
Mnamo mwezi wa sita nilipata nafasi ya kupima HIV na mpenzi wangu ila majibu yetu yalikuwa Negative kwa mujibu wa kipimo cha Sd bioline, mwezi mmoja kabla nilikuwa nikisumbuliwa na homa na kupata vipele nikawa nimefanya kipimo cha full blood picture nikaelezwa kwamba it seems kinga yangu imedrop inawezekana nina new invaders katika mwili.
Days have passed till last two weeks mana vile vipele vimekuwa vikiongezeka nikaamua kwenda laboratory fulani ili nipime syphilis na HIV . Baada ya vipimo ikaonekana sina syphilis ila nina maambukizi mapya!! According to Sd bioline, nikamuelekeza anifanyie confirmation by uni gold ila hakuwa na kipimo hiko, hivyo nikahamia hospital kabisa for more details ila nilipofika hospital niakpima ikaonekana sina hiyo HIV by hiko kipimo cha Sd bioline! Nikawambia my recent situation ila wakakataa kunifanyia confirmation kwakuwa wao kipimo chao hakijaonyesha kama nipi infected, nikaamua kuhama pale nikaenda kwingine nako majibu yakasoma negative !!
Wataalamu naomba mnisaidie katika hili mana sina amani but last memory ya kucheza mechi ilikuwa january
 
Mkuu tibu iyo infection kinga yako itakuwa sawa kula vizuri punguza mawazo mana hivi pia huchangia kushusha kinga
 
Alafu embu nieleweshe unaposema maambukizi mapya unamaanisha nini chief?
 
Mkuu huu Uzi ungeuweka jf docta ungepata msaada.
Madocta wengi huwa wanapita kule.
 
Ikishindikana hospital nenda na kwa maaskofu/ mashehe, huenda kuna mkono wa mtu hapo.
 
Huo ni upungufu wa kinga mwilini..
ambao baadae inaweza kuja kuwa ni ukosefu wa kinga mwilini!
 
Itakuwa Scabbies hao

Nunu scaboma paka mwili wote hadi kwa nyayo
 
huna maambukizi sema wenge lako mkuu, tulia/tuliza mawazo uko sawa.
 
Kama diagnosis ya daktari ni kushuka kwa kinga, kuna post ya bidhaa asili kabisa Kutoka shirika LA Marekani linalo zalisha hizo bidhaa. Bila Shaka ndo soluhisho LA tatizo lako. Namba yangu ni hii 0716 052962 . nikuletee
 
Pole.Kishuka kwa kinga ni kitu cha kawaida iwapo askari wako wanapambana na maradhi fulani ndani ya mwili, hayo maradhi si lazima yawe HIV.Muone mtaalamu,doctor, akushauri na kukuchunguza vema.Usijipe presha bila sababu, maradhi yapo mengi ndugu.

Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…