Chapa Isimame
Member
- Aug 15, 2018
- 78
- 86
Mnamo mwezi wa sita nilipata nafasi ya kupima HIV na mpenzi wangu ila majibu yetu yalikuwa Negative kwa mujibu wa kipimo cha Sd bioline, mwezi mmoja kabla nilikuwa nikisumbuliwa na homa na kupata vipele nikawa nimefanya kipimo cha full blood picture nikaelezwa kwamba it seems kinga yangu imedrop inawezekana nina new invaders katika mwili.
Days have passed till last two weeks mana vile vipele vimekuwa vikiongezeka nikaamua kwenda laboratory fulani ili nipime syphilis na HIV . Baada ya vipimo ikaonekana sina syphilis ila nina maambukizi mapya!! According to Sd bioline, nikamuelekeza anifanyie confirmation by uni gold ila hakuwa na kipimo hiko, hivyo nikahamia hospital kabisa for more details ila nilipofika hospital niakpima ikaonekana sina hiyo HIV by hiko kipimo cha Sd bioline! Nikawambia my recent situation ila wakakataa kunifanyia confirmation kwakuwa wao kipimo chao hakijaonyesha kama nipi infected, nikaamua kuhama pale nikaenda kwingine nako majibu yakasoma negative !!
Wataalamu naomba mnisaidie katika hili mana sina amani but last memory ya kucheza mechi ilikuwa january