pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Free market; let forces of demand and supply determine the price.Kinachoamua bei ya sukari au bidhaa yoyote ni soko. Mfano sisi wakulima kuna miaka tunauza mpunga gunia Tsh 50,000 na kupata hasara wakati kunakipindi tunauza Tsh 100,000 au zaidi. Kwahiyo suala hili lilitakiwa liamuliwe na soko.
Mm jana nimenunua kilo kwa sh.2700/=Huku Kilosa morogoro na maduka ya kawaida wanauza 3000 je huko ilikoadimika ni wapi mkuu???Sukari imeadimika, sukari imekua adimu, sukari zimefungiwa kusiko julikana je ni ukaidi wa bei elekezi au nikweli viwandani production imepungua.
Wajuzi wa mambo mtujulishe wapi machimbo tunaweza kupata bidhaa hii iliyo adimika ghafla.
Yaarabi tunusuru. Tunarudi miaka ya 80. Ukitaka sukari unaamka saa kumi na moja asubuhi na kupanga foleniSukari imeadimika, sukari imekua adimu, sukari zimefungiwa kusiko julikana je ni ukaidi wa bei elekezi au nikweli viwandani production imepungua.
Wajuzi wa mambo mtujulishe wapi machimbo tunaweza kupata bidhaa hii iliyo adimika ghafla.
Mkuu sehemu nilipo kilo inauzwa 3800 na bado kuipata ni ishuMm jana nimenunua kilo kwa sh.2700/=Huku Kilosa morogoro na maduka ya kawaida wanauza 3000 je huko ilikoadimika ni wapi mkuu???
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka yote kipindi cha masika viwanda vya sukari husimamisha uzalishaji kwa sababu kuu 2: 1)kiwango cha sukari kwenye muwa(sugar content) huwa kilo chini, 2) miundombinu ya kuleta miwa toka mashambani huathiriwa na mvua. Kipindi hicho hutumiwa na viwanda kufanya matengenezo ya mitambo.Yaarabi tunusuru. Tunarudi miaka ya 80. Ukitaka sukari unaamka saa kumi na moja asubuhi na kupanga foleni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeinunua tegeta 4000 tena baada ya kuzunguka maduka mengi nikawa nikiuliza wananishangaa kama nimeuliza nyara za serikali, hata aliyeniuzia aliniuzia baada ya kuwa na uhakika mimi siyo snitchMm jana nimenunua kilo kwa sh.2700/=Huku Kilosa morogoro na maduka ya kawaida wanauza 3000 je huko ilikoadimika ni wapi mkuu???
Sent using Jamii Forums mobile app