Kwa mara nyingine nimekopa hela kwa jamaa na kumdanganya nafika mjini mara moja kumbe nilisafiri mpaka singida ,nikiamini nitakuwa mtumishi bora kwa bidii zote nilizofanya ,changanya mpaka mkuu wa mkoa kumweleza adhma yangu lakini bado nimemwagwa chini .
Hakika nchi ina wenyewe na wenyewe ndiyo wameshinda ,hii ni mara ya kwanza na ya mwisho kujipendekeza na kujituma kuliko akili na nguvu zangu kazini
Kaka
Intelligent businessman nimeikosa tena unhhh ππ ,fanyeni mchango wa nauli nirudi Mbeya hela niliinywa yote jana nikiamini leo nitakuwa na kibunda ila wapiππ