Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mme wangu naenda maandamano ya CDM nitarudi baada ya siku kumi,kumbe yupo kwa mchepukoChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea kumtafuta kada wake Hilda Newton aliyepotea tangu Alhamisi, Aprili 24, 2025, mara ya mwisho akionekana katika viunga vya Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam.
Kupitia mitandao ya kijamii, wanachama wa CHADEMA wameeleza wasiwasi wao, wakidai kuwa Hilda alikamatwa na Polisi akiwa mahakamani. Hata hivyo, taarifa rasmi ya Jeshi la Polisi iliyotolewa na Kamanda SACP Jumanne Muliro imetaja majina ya wanachama watano waliokamatwa, huku jina la Hilda likikosekana.
Taarifa hiyo imeongeza sintofahamu na hasira miongoni mwa wafuasi wa CHADEMA, wakitaka maelezo ya kina kuhusu alipo Hilda, huku wengine waliokamatwa wakiripotiwa kupatikana wakiwa wamejeruhiwa vibaya pembezoni mwa jiji.
Newton ananyonyeshaMme wangu naenda maandamano ya CDM nitarudi baada ya siku kumi,kumbe yupo kwa mchepuko
Innallillah wainnah raajiun. Kila nafsi itaonja mautiWatakuwa wamemuua na kwenda kumtupa mto Rufiji
Ndiyo mamako anamfanyia baba yako hivyo! Hakika huyo ni zaidi ya machangudoa wa Riverside!Mme wangu naenda maandamano ya CDM nitarudi baada ya siku kumi,kumbe yupo kwa mchepuko
Zamu yake itafika tu
Haya matukio yote yapaswa kuwa documented vizuri sana.
Wanawachezea akili WatanzaniaMme wangu naenda maandamano ya CDM nitarudi baada ya siku kumi,kumbe yupo kwa mchepuko
Ndo unavyoaga mumeo ukienda kwa mchepuko wako? 😏Mme wangu naenda maandamano ya CDM nitarudi baada ya siku kumi,kumbe yupo kwa mchepuko
Angali maumivu ya wenzako yasiwe furaha kwako?watu walilia miaka yote,lakini Mungu alipopiga pigo moja tu takatifu,mlilia mpaka mkatunga na nyimboMme wangu naenda maandamano ya CDM nitarudi baada ya siku kumi,kumbe yupo kwa mchepuko