imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
Hawa ni wa kupelekwa ICC International Criminal Court.Haya matukio yote yapaswa kuwa documented vizuri sana.
Rais, IGP wa sasa, Mkuu wa Operesheni Polisi huyu Kamishna Awadhi, Muliro na Msaidiz wake, DGIS, Anayesimamia Operesheni za ndani TISS wote acheni wajione wako salama sasa. Ila ipo siku wasioijua hata wakiwa wazee sana haya yote yatafanyiwa kazi dhidi yao.
Ila nawasisitiza mnapaswa ku document haya matukio vizuri sana maana siku Mahakama za Kimataifa za Jinai zikisema tupeni ushahidi mnakuwa nao wote na mnawapa.
Pigeni picha miili yao, wanavyowapiga kuwatesa , hifadhini zote, rekodini matukio ya video muyasave haya kwenye emails huko. Rekodini maelezo ya mashahidi na muyasave kwenye njia mnazozijua.
Ipo siku haki za hawa watu zitapatikana tu.
👆 mwenzao anawasubiri huko.