PreGE2025 Sintofahamu yatawala CHADEMA: Siku ya Pili Kada Hilda Newton hajaonekana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hawa ni wa kupelekwa ICC International Criminal Court.

👆 mwenzao anawasubiri huko.
 
Mwenyenzi Mungu amsaidie arejee kwenye Familia yake salama...
 
Washitakiwe hawa ndio wanaoharibu utulivu wa nchi sio CDM
1. Rais
2. Waziri mambo ya ndani
3. Mkuu wa mkoa
4. Kamanda kanda maalum
5. ZCO
6. DGIS
7. Watendaji wote walioshiriki moja kwa moja
 
Polisi waseme walikomtupa baada ya kutaja jin
Baada ya kuulizwa na kutaja jina lake Hilda Newton, Polisi waliondoka naye kusikojulikana baada ya kuwatelekeza wengine huko Mabwepande.
 
Mnapelekaje maandamano watu wenye watoto kweli nyie mahaini,hamuonei huruma mtoto,,watoto wa Lissu,lema ,mnyika na familia walikuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…