Doji MD
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,577
- 5,587
Kua afadhali hamna Makato ya mweziUnaikuta hyo hyo lakini huwezi kutoa hyo hyo
Kua afadhali hamna Makato ya mweziUnaikuta hyo hyo lakini huwezi kutoa hyo hyo
SahihiBank wanakadi zao maalum kwa ajili ya Savings.
ATM zinatakiw maintenance, Bank Branch kuna watumishi, kuna kampuni za Ulinzi.. mifumo ni ya kulipia.. bado hasara mbalimbali..
Lazima wakukate tu, ikiw ww ni Maskini usiweke hela huko. Maan sh 800 kwa mwezi si hela ya kupigia watu kelele.
Unachosema ni kweli, ni vile tu Tanzania huwa hatuambiani ukweli. Banks zilitengenezwa kwa ajili ya watu matajiri, ukienda US kuna benki kama Goldman Sachs kufungua akaunti minimum deposit inaanzia $10 Million maana yake hawataki choka mbaya.Vihile vidogo vidogo kama hivyo nikuweka tu chini ya godoro la sivyo unakuwa unawafaidisha mabepari wa mabenki
Lakini Kila mwezi nilihakikisha nawagea 1500, ili wao waamue watalipia Makato yao au watakunywa soda. Licha ya kiwatendea wema, still wameuponda ponda moyo wangu unaowaza mafanikioBank wanakadi zao maalum kwa ajili ya Savings.
ATM zinatakiw maintenance, Bank Branch kuna watumishi, kuna kampuni za Ulinzi.. mifumo ni ya kulipia.. bado hasara mbalimbali..
Lazima wakukate tu, ikiw ww ni Maskini usiweke hela huko. Maan sh 800 kwa mwezi si hela ya kupigia watu kelele.
Equity ndo haina makato ya mweziNenda Equity bank mkuu
Hiz benk ni wezi sana ,mm sku nmekoma niliwekewa 50,000 eti nakuja kutoa baada ya sku 3 nakuta 36 ndo imebak ,,wakaleta stor hizo hizo za sjui running cost,mara sjui usengerema gan ,,,nkaamuq niachane nayo niwe naweka ela yangu kwenye lipa no. Yangu ,,yaan nakipata ela ya kusave naiweka kweny lain yangu ya Kawaida alaf najidai nanunua kitu kutoka kwenye lipa yangu ambayo lain ipo home ,na sku ya kutoa natoa Bure ,wala hakuna makato ya kipumbavu kama benkWalichonifanyia eniembii kinatosha. Nilifungua account lao mwaka Jana November, nikawa naweka tu elfu mbili tatu kama saving, simalizi wiki, nanyofoa pesa zangu, mambo mengine yanaendelea
Mwezi Feb mwaka huu nikaweka 85k, cha ajabu leo nimejaribu kutoa 80k wakaleta ujumbe wa insufficient balance. Nikajaribu kutoa 75k wakaleta ugaigai. Nilivyowapandia hewani wakaleta habari za makato ya Kila mwezi eti 800 na makato ya mwezi Desemba na Machi 4500@ kwa lengo la kufanya anniversary na porojo nyingine kibao. Nimeona mambo yasiwe mengi, nikatoa 70k, nikavunja kadi lao kama nilivyofanya mwaka juzi kwenye siaradibii
Ukiweka 100,000 MPesa, hata ukae miaka 10, utaikuta hiyo hiyo. Maisha ni kuchagua
Ila wameniudhi sana
hBank wanakadi zao maalum kwa ajili ya Savings.
ATM zinatakiw maintenance, Bank Branch kuna watumishi, kuna kampuni za Ulinzi.. mifumo ni ya kulipia.. bado hasara mbalimbali..
Lazima wakukate tu, ikiw ww ni Maskini usiweke hela huko. Maan sh 800 kwa mwezi si hela ya kupigia watu kelelena nusu ww ,,mbona wanakopesha ela na Riba ni 22 % ya mkopo ,Kwa nn mm niliyewapa ela ya kukopeaha wanaikata eti running cost
Akuna lolote mwache aweke pesa yake mahali ambapo hakuna nondo wala wezi kwenye ,m pesa,Airtel money au tigo pesa watu yasKachukue benki statement tuiangalie nini kimetokea, na pia tujue aina ya akaunti uliyoifungua na makato yake.
Jifunze kutatua changamoto na sio kuzikimbia. Huko unapoenda ndo balaa zaidi.
Usiogope benki kama unataka kuwa relevant kwenye chaneli ya pesa
Ovyooo kabsa ww ,,mbona wanakopesha ela na Riba ni 22 % ya mkopo ,Kwa nn mm niliyewapa ela ya kukopeasha wanaichukua na kunidai wakiiba na kusema wanakata gharama za running costBank wanakadi zao maalum kwa ajili ya Savings.
ATM zinatakiw maintenance, Bank Branch kuna watumishi, kuna kampuni za Ulinzi.. mifumo ni ya kulipia.. bado hasara mbalimbali..
Lazima wakukate tu, ikiw ww ni Maskini usiweke hela huko. Maan sh 800 kwa mwezi si hela ya kupigia watu kelele.
Ziweke ndani kuepuka hayaUtasikia CEO anasifiwa na mpambanaji analeta faida ,kazi za bank ni utapeli mtupu , wananyonya watu hawana kipya zaidi ya kuchukua pesa maskini.
Matapeli kama weweZiweke ndani kuepuka haya
Makato babuuKivipi? Em fafanua.
Sasa utapeli gani we kenge sasa kama mtu analalamika makato makubwa ya benki si akae na hela zake ndani ili asikatwe makatoMatapeli kama wewe
Hatari kwa watu wa chini , mifumo ya bank ni mifumo ya kitapeli ..Kazi kuwasifia wamepata faida ila inaleta umaskiniSasa utapeli gani we kenge sasa kama mtu analalamika makato makubwa ya benki si akae na hela zake ndani ili asikatwe makato