Sintokaa nitumie huduma za kibenki tena. Rasmi narejea kwenye miamala ya simu

Ukiweka 100,000 MPesa, hata ukae miaka 10, utaikuta hiyo hiyo. Maisha ni kuchagua
Na huko makato utayakuta! Kwani laki utaitoa kwenye Mpesa bila makato? Wacha hizo hasira mkuu! Kama hutaki hayo makato weka kibubu nyumbani kwako!
 
Jaribu pbz,
Hawa wazenji wako vizuri kiasi
 
Kuna member mmoja ametoa ushauri hapo juu,ni ushauri mzuri.
Ukipata fedha ibadilishwe kwenye Dola then weka ndani.
Mchezo kwisha.
 
Kuna member mmoja ametoa ushauri hapo juu,ni ushauri mzuri.
Ukipata fedha ibadilishwe kwenye Dola then weka ndani.
Mchezo kwisha.
Hahah matajiri ndo walikuwa wanafanya hizo business sahiv dola ni msala kuzipata hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…