Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Ooh my God kumbe waliuawa kinyama sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa njiani, UKIJAMBA kwa sauti lazima ugeuke
Sasa huyu mleta story anatumia nguvu nying kuliko kuleta mwendelezo wa story Yeye kutwa kujibu story yenyew unaandika kidogo kidogo Sasa s uweke nguvu zako kwenye mwendelezo kuliko kujibu kujibizana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hupendi kuambiwa ukweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 1989 usiwe mbulula
Kimbari ni 1994
 

Dogo unalalama nini? mbona ameshashusha nondo za kutosha acha ugenye heshimu babu nyambaf


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hii thread unaweza ukajifunza kwamba:
Wengi wetu (waTz) sio wavumilivu na mwisho wa siku tunalaumu Sana na kutoa maneno yasiyopendeza bila kujua upande wa mlengwa uko vipi.
Halafu wengine mnashindwa kuvumiliana mnatukanana wenyewe kwa wenyewe kisa kupanic.
Kwani mtu akiku quote kakujibu vibaya lazima ujionyeshe wewe mwamba kwa kumtusi?! Tubadilike

Hivi mtu amejielezea Hawezi kuandika haraka lakini mtu unakuja unatukana au kutoa kashfa na maneno mabaya what does that indicate??!

Pia, tujue mtu wa 50+ hashindi na simu muda wote emergencies za hapa na pale, wageni au majukumu katika familia na eneo husika la riziki zinaweza mbana kufanya hivyo kwa wakati. Hebu tuache kuwa na mawazo+ mihemko hasi.

Trust the process, akisema ataleta jua kutulia kusubiri na uelewe huyu anayeandika ni binadamu na anakumbana na maswahibu ya hapa na pale Kama wewe so when the story doesn't come on time, Relax and be positive.
 
Kuna mbwa wengi sana humu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmhhh mbona Kama haijakaa kiprotocal vile
 
Kitu nimejifunza hadi sasa:
1. Kutajwa kwa Dar, Nairobi, Kampala, Kinshasa, Ufaransa, Ubeligiji na Marekani, ni dhahiri vita haikuwa ya watusi na wahutu peke yao. Majabari ya vita hiyo yalikuwa nje ya Rwanda.

2. Vita si ya kujaribu kabisa kwani shetani hufanya kazi mwenyewe badala ya kuwatuma wasaidizi wake.

3. Kwamba malori yalipita juu miili ilozagaa barabarani, ni ishara kuwa mapigano Rwanda yalifikia hatua ambayo pengine ulimwengu haukuelezwa ukweli wa kilichoendelea huko na hivyo kukosa usaidizi stahiki wakati muafaka.

4. Ubalozi wa Tanzania kuwa kimbilio, na kutoshambuliwa kama ilivyokuwa kwa balozi nyinginezo kunatia mashaka iwapo hatukuwa washirika muhimu katika vita hiyo.

5. Media, hasa redio ni chombo hatari mno kikishindwa kufuata misingi bora ya kiutendaji.

Mwisho kuliko vita ije hapa kwetu bora CCM watawale milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo namba 4 ni balozi zipi zilishambuliwa na watu kuuawa ndani ya balozi hizo? Kuheshimiwa kwa ubalozi wa Tanzania siyo kwa sababu ya jitihada zake ilizokuwa ikifanya na pia kuwa mwenyeji wa mazungumzo ya kutafuta muafaka kati ya serikali ya Habyarimana na vyama vya upinzani ambavyo baadhi yake vilikuwa vikiendesha vita ya msituni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…