Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,998
- 8,339
Kila mmoja alitaka aweke kibaraka wake ili iwe rahisi kuipiga na kuivamia Congo kuvuna almasi na dhahabu...Wengi wao walikuwa wabeligi na wafaransa kuna siku wao kwa wao walichapana uwanja wa ndege wa Kigali waziri wa ulinzi wa Rwanda kipindi hicho ndo akaingilia kati kusuluhisha ugomvi wao.sasa walinzi gani hao eti UNAMIR.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu sio wa kuwaamini, zitto na vibaraka wake waliangalie hili la kujipendekeza kwa mabeberu...
Sent using Jamii Forums mobile app