Cripian ntayamila lifti tu ilimponza....hakuwa targeted.Mzee Baba unaweza kutueleza kwanini katika safari ile ya kurudi toka Dsm Rais Juvenile Habyalimana wa Rwanda na Cprian Ntadyamila wa Burundi walipandishwa ndege moja!
Nakubaliana na wewe kabisa. Ila nikuulize swali moja. Hivi unawafahamu watanzania kweli... Hawajali hata chembe. Wazo lako ili lifanikiwe, lazima liratibiwe, ni mchakato mrefu hasa wa kifikra. Sasa nani aratibu?! Mbowe!? Au hao waliokwenda ikulu wakiinama na kuinuka kama wanoingia mbinguni...? Wanasiasa wa upinzani wote hawafai kabisa kwa kuwa wameshindwa kurithisha madaraka kwa vijana, na kwa utu uzima wao (in fact uzee wao) hawawezi kutupatia mbinu bora hata chembe...Wataanza kukuua sasa utafanyaje ni kuwaondoa tu mapema ili tujenge utamaduni bora kama nchi jirani zetu za Zambia, Malawi na Kenya hawa watu ni hatari mno hasa ukiingia ukabila CCM wanaona chama kingine na adui na wako radhi kuwsus wapinzani
Tuwa ondoe haraka afadhari kufa wachache kuliko kuliingiza taifa kwenye vita kams hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndiyo maana siku zote yamekuwa yakiitwa mauaji tena mauaji ya kimbari. Kwa sababu asimilia kubwa kabisa ya waliouwa walikuwa ni wa upande mmoja yaani watutsi. Siyo vita wala nini.Nilichogundua hii haikuwa vita kama inavyoitwa, vita kwa uelewa wangu huwa ni pande mbili zinapigana.
Ila haya yalikuwa mauaji.
Raia wa kitutsi na kihutu walikuwa adui.hivyo wale raia wa kitutsi walioko ndani ya rwanda walikuwa wanapenda wanajeshi wa kitutsi ( kina kagame) washinde vita ili nao wawe na power.maana walikuwa wanateseka na manyanyaso ya wahutu.ndio maana hapo msimuliaji alisema kwamba kulikuwa na watutsi wanatoroka kimya kimya wanakwenda msitunni kukutana na waasi.wanapewa mafunzo kisha wanarudi mtaani.na katika hizo safari walikuwa wanatoa siri ya mambo yaliyokuwa yanaendelea ndani ya nchi.hivyo hutu wakaona kuwa wanaishi na wasaliti mtaani.wakaona tutsi wote lao moja na waasi..ndio maana wakapanga kuwapoteza wote ...( mfano ikitokea jirani hakupendi anaenda kwa balozi wa kihutu..anamwambia mzee fulani wiki nzima hayupo mtaani ..ndio karudi leo naskia alienda polini kwa waasi..balozi atawasiliana na kiongozi wa jeshi..hapo watakuja home kukuchomoa na ndio unakufa hivyo.) ...samahani kwa kuingilia simulizi..Wale watu hawakua wanapigana wala kuuwana bali walikua wanaua tu. Na ilkkua ni mauwaji yaliopangwa. Bora wangeendelea kupigana baina ya majeshi ya serikali na majeshi ya Kagame hadi mshindi apatikane au wange implement makubaliano ya Arusha waliokua wote wamesaini bila kuua raia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichogundua hii haikuwa vita kama inavyoitwa, vita kwa uelewa wangu huwa ni pande mbili zinapigana.
Ila haya yalikuwa mauaji.
Walikuwa walinda amani hivyo hawakuwa na order ya kuingilia hiyo vita...lakini pia hao inasemekana walikuwa na mambo yao...mabeberu kama kawaida yao...kwahiyo walikuwa kama wale chatu wa ngoma za asili.Mkuu! wakati raia wanauawa hovyo hawa askari wa UNAMIR walikuwa kimya tu bila kufanya kitu?
Wahutu wengi pia waliuwawa hasa kama muhutu umeoa mtutsi halafu hutaki kuwauwa mkeo na wanao hivyo intrahamwe wanawaua wote kwakua ni mwiko mwanaume wa kihutu kuoa mke wa kitutsi..na ni hivyohiyo kwa wanawake..pia kuna wale ambao hawakujiunga na wahutu wenzao kuua watutsi hivyo unaonekana hampo pamoja..unakumbana na mtiti kama mtutsi..Na ndiyo maana siku zote yamekuwa yakiitwa mauaji tena mauaji ya kimbari. Kwa sababu asimilia kubwa kabisa ya waliouwa walikuwa ni wa upande mmoja yaani watutsi. Siyo vita wala nini.
Asante sana mkuu kwa hoja zako maridhawa, natamani kila mwanaJF awasilishe mawazo yake pasipo matusi na kejeri. Najiuliza kwa nini mtu anakuwa bize kuandika matusi tu, ina maana watu wetu wengi vichwani hamna fikra njema!! Hawataki kuumiza vichwa kidogo wakajenga hoja??!Well spoken kiongozi. Na nikwambie kitu mara baada ya ndege ile kushambuliwa na kuuawa kwa marais hao mtutsi yeyote aliyekuwa ughaibuni alifanya sherehe kubwa au ndogo, kwa uwazi au kwa usiri kufurahia tukio hilo.
Wiki chache sana kabla ya tukio la ndege kutunguliwa kulikuwa na mkutano mkubwa sana pale jijini Mwanza uliowakutanisha watutsi wote kutoka kanda yote ya ziwa. Mkutano huo mkubwa na wa aina yake ulifanyika pale Vijana Social Hall jirani na uwanja wa mpira wa CCM Kirumba. Lango kuu kulikuwa na udhibiti mkubwa sana na walioruhusiwa kuingia ndani ni watutsi pekee yake.
Hata hivyo mimi nikiwa nje nilibahatika kuwaona watu fulani watutsi waliokuwa wakiishi Mwanza kipindi hicho kwa kivuli cha wafanyabiashara na wengine watumishi wa serikali waliokuwa na nyadhifa kubwa kubwa kwenye taasisi mbalimbali za serikali wakihudhuria mkutano huo ulioashiria kwamba kuna jambo kubwa walikuwa wanapanga kulitekeleza, wanataarifiwa au kuwekana sawa. Kiufupi hakuna mtutsi yeyote aliyekuwa na umri wa zaidi ya miaka 18 ambaye hakuhudhuria mkutano huo pasipokuwa na sababu maalumu maana kulikuwa na uhamasishaji sana ili wahudhurie bila kukosa.
Baada ya vifo vya marais hao wawili, mauaji ya kimbari yaliyofuatia na baadae watutsi wengi kurudi kwao Rwanda, wengi wa watu hao niliowafahamu waliokuwa katika mkutano huo walipata nyadhifa kubwa kubwa katika serikali ya Rwanda.
Hata baadhi ya watu nchini (watutsi) waliokamatwa kwa kudaiwa kufanya sherehe za waziwazi kutokana na furaha waliyokuwa nayo baada ya kuuawa kwa marais hao, baadae waliachiwa huru kwa amri kutoka mamlaka za juu. Ndiyo maana kuna speculations za hapa na pale kwamba hata TZ kuna upande ilikuwa ikipendelea kwenye yale majadiliano yaliyokuwa yakiendelea ili kuleta muafaka wa amani/kiuongozi.
Vita vilikuwepo awali kati ya waasi (RPF) na Serikali ya Habyarimana ndio maana hata mazungumzo ya amani yalifanyika hapa Tz.Nilichogundua hii haikuwa vita kama inavyoitwa, vita kwa uelewa wangu huwa ni pande mbili zinapigana.
Ila haya yalikuwa mauaji.
Asante sana mkuu kwa hoja zako maridhawa, natamani kila mwanaJF awasilishe mawazo yake pasipo matusi na kejeri. Najiuliza kwa nini mtu anakuwa bize kuandika matusi tu, ina maana watu wetu wengi vichwani hamna fikra njema!! Hawataki kuumiza vichwa kidogo wakajenga hoja??!
Anyway!! Nikirudi kwenye hoja yako mkuu, hawa watusi waliteswa mno na wahutu. Ukimsoma mtoa post, attack ziliwalenga watusi, hivyo mikakati ya kujikomboa ilikuwa ni sawa kabisa. Shida ya ukombozi wà namna hiyo haudumu. Inasemekana kwa sasa ambapo watusi ndo wenye nchi, wahutu wako magerezani wanaozea huko. Hivyo, amani ya Rwanda nina mashaka nayo iwapo itadumu baada ya Kagame.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na namna kagame anafanya sasa anakuwa kama ametega time bomb! Muda wake ukiisha au akifa ...it will be time.. the bomb to explode..mauaji ya kimbari yatatokea tena..hutu ni wengi sana kwa population 80%.hivyo kama tutsi wajanja wakiona kagame anakwenda halijojo..inabidi wakimbie vibaya sana[emoji23][emoji23].wahutu walikuwa na mpango wakutokomeza kizazi cha watutsi, yaani kuua watutsi wote, ili enterahamwe wakose sapoti ya kuchukua nchi. Kagame anafanya vizuri sana kumaliza nguvu za wahutu. wahutu ni makatili sana bora kagame awauwe wale wakorofi. i hate hutus
Hutu militia (interahamwe )na baadhi ya maofisa top rank wa jeshi la rwanda.hawakukubaliana na mazungumzo ya amani..hawakuwa tayari kushea uongozi na waasi kina kagame..na ajenda kuu ya mkutano wa arusha ilikuwa kusitisha vita na kisha kushea madaraka kwa mgawanyo sawa kati wa hutu na tutsi.sasa top rank wa jeshi wote ambao waliunga mkono mazungumzo ya amani waliuwawa kwa nyakati tofauti..pia ndani ya ndege iliyouwa wale marais kulikuwa na maofisa wa juu wa jeshi la rwanda.nao walifia humo.jeshi liliteuwa wakubwa wengine ambao waliendana na mpango wa yale mauaji.kama sijakosea top rank alikuwa augustin bizimungu ( general) na theonette bagosora (kanali).Vita vilikuwepo awali kati ya waasi (RPF) na Serikali ya Habyarimana ndio maana hata mazungumzo ya amani yalifanyika hapa Tz.
Ila mauaji yaliibuka baadae baada ya Rais Habyarimana kuuawa, japo inawezekana mauaji yalipangwa toka kitambo.
Cc jMaliwahutu walikuwa na mpango wakutokomeza kizazi cha watutsi, yaani kuua watutsi wote, ili enterahamwe wakose sapoti ya kuchukua nchi. Kagame anafanya vizuri sana kumaliza nguvu za wahutu. wahutu ni makatili sana bora kagame awauwe wale wakorofi. i hate hutus
Dikteta Mobutu alikuwa mshikaji wake Habyarimana wa kufa na kuzikana. Ukifika eneo hilo yalipokuwa makazi ya Habyarimana nyuma ya nyumba kwenye bustani utaona kibwawa kidogo ambacho simulizi iliyopo ni kwamba enzi za Habyarimana kuliwekwa chatu mwenye urefu na uzito mkubwa sana ambaye alikuwa akitumika kwa mambo ya kishirikina ikiwa ni pamoja na kufanyia kafara. Na huyo chatu alikuwa kapewa na rafikie Mobutu ili kufanyia huo ushirikina. Usiku ule ule Habyarimana alipouawa hilo chatu nalo lilipotea katika mazingira yasiyoeleweka na hadi leo halijawahi kuonekana tena.Tunaweza kusema mauaji ya huko Rwanda yalichochewa zaidi na chuki ya kikabila ndani ya Rwanda kwenyewe na kama kuna uhusika wa nchi jirani huenda ni kwa uchache sana tofauti na chanzo kikuu ambacho ni chuki za kikabila ndani ya nchi husika.
Uhusika wa nchi jirani upo kimaslahi ya kiushawishi kikanda mfano Uganda ya Museveni inafahamika ilikuwa na urafiki na RPF ya Kagame huku Zaire (DRC) ya Mobutu ilikuwa na urafiki mzuri na serikali ya Habyarimana.
Hata upande wa mabeberu kama walihusika basi ni ushawishi wa kikanda tu maana hapo awali Ufaransa ilikuwa na ushawishi mkubwa huko Rwanda wakati wa Habyarimana na hata huko Zaire wakati wa Mobutu.
Ila baada ya RPF kushinda Vita huko Rwanda na Mobutu kupinduliwa huko Drc basi nafasi ya ushawishi ya Ufaransa imechukuliwa na Marekani.