Asante sana mkuu kwa hoja zako maridhawa, natamani kila mwanaJF awasilishe mawazo yake pasipo matusi na kejeri. Najiuliza kwa nini mtu anakuwa bize kuandika matusi tu, ina maana watu wetu wengi vichwani hamna fikra njema!! Hawataki kuumiza vichwa kidogo wakajenga hoja??!
Anyway!! Nikirudi kwenye hoja yako mkuu, hawa watusi waliteswa mno na wahutu. Ukimsoma mtoa post, attack ziliwalenga watusi, hivyo mikakati ya kujikomboa ilikuwa ni sawa kabisa. Shida ya ukombozi wà namna hiyo haudumu. Inasemekana kwa sasa ambapo watusi ndo wenye nchi, wahutu wako magerezani wanaozea huko. Hivyo, amani ya Rwanda nina mashaka nayo iwapo itadumu baada ya Kagame.
Sent using
Jamii Forums mobile app