Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Ukweli mwingi umefichwa na serikali ya KAGAME.Ni ukweli usiopingika kuwa tusi waliuawa wengi.ILA ukweli usiosemwa ni kwamba mara baada ya RPF kushika dola wahutu wenye mlengo wa kushoto na RPF walikipata cha mtema kuni.jeshi la intelahamwi lilisambazwa hivyo ikabidi wapiganaji wakimbilie zaire(DRC) RPF wakawafata huko huko na kilichowapata huwa hakisemwi sana.yaani waliuliwa kikatili sana.walikuwa wanafungwa mikono na miguu na wanawekwa kwenye magogo kama yale ya bucha zetu za kwa mtogole au manzese then kichwa kinawekwa kwenye gogo unashushiwa nyundo ya kilo 12 na jitu lenye miraba minne.ukweli ni kwamba inasadikika kuwa wahutu walioaga dunia baada ya RPF kushika dola ni wengi kushinda watusi waliouaw enzi za mapigano
 
Hakuna uhakika wa 100% nani alihusika kudungua hiyo ndege...jeshi la hutu 80% .kwakuwa mpango wa mauaji ulishapangwa na rais alitaka mazungumzo ya amani alionekana kama msaliti pia.kwahiyo aliaungushiwa jumba bovu ili hutu wapate sababu ya kuanzisha mauaji.kina kagame 10% ( Hakuna sababu) .tz 0.1%.( hakuna sababu).museveni 9.9% ( ipo sababu).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anakimbelembele sana huyu likud
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa sidhani kama hata cheti ulipata form 4. Ni mkurupukaji wa kiwango cha SGR. Stori ipo mwaka 89 hata 94 haijagonga wewe tayari ushahitimisha kuwa stori ni ya uongo.
 
Ni kweli mkuu, halafu kumbuka mtu anajitolea kusimulia buree, jenga taswira uandike story ndefu hivyo kwenye keypad ya simu
 
LIKUD kwani lazima kila uzi uchangie? yaani nakuonaga unakaujuaji ka kisekondari sekondari.Hebu hata kama huna nywele sehemu za siri jaribu kujiheshimu.Nenda kwenye majukwaa yenu ya kula mzigo kimasihara huko ndo level zako.

Next time.dont mention my name in vain
 
Walikuwa walinda amani hivyo hawakuwa na order ya kuingilia hiyo vita...lakini pia hao inasemekana walikuwa na mambo yao...mabeberu kama kawaida yao...kwahiyo walikuwa kama wale chatu wa ngoma za asili.

Sent using Jamii Forums mobile app

umejikoroga Hapa.
kama walikua wanalinda amani, ni amani gani walikua wanalinda wakat mauaji yanatokea mbele yao wanaona.
 
Bado hujajua kuwatofautisha watusi na wahutu. Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mimi nilifikiri hivyo kabla lakini baadae nikagundua kuna watutsi vijeba na vipilipili tu kama wahutu

Ndio nikataka kujua kama kuna sifa ya ziada kuwatambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umejikoroga Hapa.
kama walikua wanalinda amani, ni amani gani walikua wanalinda wakat mauaji yanatokea mbele yao wanaona.
Ndio maana nimekwambia walikuwa na mambo yao...lakini pia walikuwepo kabla vita haijaanza na vita ilikuwa haihusishi wao.kwahiyo walikuwa walinda amani katikati ya vita.ilibidi itoke order ya nini cha kufanya na nini si cha kufanyakutoka kwa mabeberu.wasingeweza kuingilia vita isiyowahusu ndio maana walikuwa wanaokoa raia wao tu wazungu na si hutu or tutsi.walikuwa under pressure zaidi ya unavyodhani.kumbuka walishauwawa wanajeshi kadhaa nyumbani kwa mwanamama waziri mkuu walipotaka kumtetea asiuwawe.they were peace keepers not intarvention forces..sijui umenipata?the situation was very bad!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…